Mkopo wagari unahitajika

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
621
346
Habari zenu mabibi na mabwana. naomba kuuliza kwayeyeto anaefaham OFICI ao MTU binafsi wanao jihusisha na kutoa mikopo ya magari. Naitaji Gari aina ya NOAH old model, ao Toyota CARINA Ti. naitaji moja kati yahayo magari, kwaajili ya biashara. Gari Iwe nzima isiwe na tatizo lolote. Mimi ni mjasiriamali Nafuga kuku pia Namiliki Duka la vipodozi. Napatikana Dar es salam Tegeta. karibuni
 
Kampuni nayoijua unatanguliza 40% ya bei halisi ya gari, inayobaki unailipa ndani na miaka mitatu, hiyo laki 5, iwekeze kwanza izae mkuu
 
Kampuni nayoijua unatanguliza 40% ya bei halisi ya gari, inayobaki unailipa ndani na miaka mitatu, hiyo laki 5, iwekeze kwanza izae mkuu
Nimekuelewa vizuri saana, na iyo Kampuni inapatikana wapi mkuu. Mimi kulipia iyo 40% sijakataa ilimradi nipate gari nilizo taja hapo juu. Hata 50% nipo tayari. Kampuni ganu hiyo. Ebu nielekeze.
 
Kampuni nayoijua unatanguliza 40% ya bei halisi ya gari, inayobaki unailipa ndani na miaka mitatu, hiyo laki 5, iwekeze kwanza izae mkuu
Kama Unataka kuisaidia hii kampuni iive kibiashara ni vema ukaitaja Hapa hapa na Sio Pm!
Kwa Faida ya Wengi!
 
Hapo ndo utajua kwamba jf wengi hawana magari,kila mtu anaulizia jina la kampuni...
 
Hapo ndo utajua kwamba jf wengi hawana magari,kila mtu anaulizia jina la kampuni...
Halafu shida inakuja akishatoa contact baadae usumbufu ukitokea lawama kwake! unajuta hata Kwa nini ulichangia mada.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom