Search results

  1. B

    Bernard james star tv sports

    Huyu kijana anajiweza katika usomaji wa michezo star tv,binafsi napenda navyotamka maneno kwa ufasaha,kujiamini,kuwa easy,matumizi ya lugha ya mwili lakini pia mbwembwe zake..anazichungulia anga za kimataifa katika utangazaji
  2. B

    ipe picha maneno(caption)

    amini usiamini,tukio hili nimelishuhudia shinyanga uwanja wa kambarage siku ya jumapili fiesta...
  3. B

    Bernard james wa star tv....

    Ni moja kati ya watangazaji chipukizi wa tv nchini na anajitahidi lakini sipendi tabia ya star tv ya kuwapanga watangazaji katika vipindi mchanganyiko mara sports news,mara tuongee asubuhi,mara miziki,mara kusoma hard news huyohuyo.....
  4. B

    anaitwa faustine nsimba aka fally ipupa

    hivi kati ya huyu jamaa na ferre gola nani mkali zaidi katika kutunga,kuimba,kucheza,nidhamu,uwajibikaji,kuudumisha muziki wa bakongo,kushambulia jukwaa,mavazi,uongozi mzuri wa bendi,uchangamfu,mafanikio nje,ndani ya afrika???
  5. B

    jukwaa la vijana juu ya katiba mpya..now star tv

    tazama jinsi vijana wanavyoyaongelea mabadiliko hayo na mambo ya muhimu..kuna uhalisia wa wanachokisema?
  6. B

    Hivi Tanzania tuna muziki?

    Hivi karibuni japokuwa sikumbuki ni mwaka gani lilifanyika shindano kubwa tu nchini na likiwashindanisha wabunifu wote wa mavazi,LENGO likiwa ni kupata vazi la kitaifa...hilo halijawezekana mpaka sasa na sijui litawezekana lini.....likaja kichwani mwangu swali ambalo si tu huwa najiuliza mie...
  7. B

    Huu ni unafiki suala la katiba

    Nimefuatilia kwa karibu sana mchakato na fukuto lililopo nchini hivi sasa na kugusa hisia za karibu kila mtanzania mpenda maendeleo na demokrasia..nikiwa kama mdau mkubwa tu katika maendeleo ya kitaifa nimefanikiwa kufanya mahojiano kibao tu...safi sana..lakini nikirejea hili kongamano la leo la...
  8. B

    top ten ya wasomasji bora wa habari za michezo tv zote nchini tz

    hii iatokana na ukweli kuwa baadhi yao wanashindwa kabisa kufuata maadili na misingi ya usomaji ikiwa ni pamoja na kuwa biased,kutokuwa na ufahamu wa michezo na matamshi mabovu..karibuni
  9. B

    Watangazaji na unafiki katika kuikuza bongoflava

    Nawashangaa sana watangazaji hasa wanaojiita wanamapinduzi wa muziki a kizazi kipya ama bongoflava...hivi kwanini wanawalazimisha mashabiki wa kitanzania wauamini na kuupenda muziki huu kwa kuamini kuwa eti ndo muziki ulio juu zaidi ya miziki mingine kama dansi,taarabu,kwaya,bakurutu n.k??hivi...
Back
Top Bottom