anaitwa faustine nsimba aka fally ipupa

anaitwa faustine nsimba aka fally ipupa

bayonet

Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
43
Reaction score
0
hivi kati ya huyu jamaa na ferre gola nani mkali zaidi katika kutunga,kuimba,kucheza,nidhamu,uwajibikaji,kuudumisha muziki wa bakongo,kushambulia jukwaa,mavazi,uongozi mzuri wa bendi,uchangamfu,mafanikio nje,ndani ya afrika??? nsima.jpg
 
maalimu omari gurumo wa msondo ngoma ndie zaidi
 
Back
Top Bottom