Search results

  1. G

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    Raha ya milele umpe e Bwana, -Na mwanga wa milele umwangazie, Astarehe kwa amani, -AMINA
  2. G

    Lazaro Nyalandu: USA inataka niwe rais wa Tanzania 2015

    hadi muda huo ukifika wengi watakuwa wamejitokeza na hawa wa sasa kusahaulika
  3. G

    nikadhani tanga nilikwenda kikazi kumbe ni mvutano wa kuifata damu yangu

    Kwa tabia zako ulizozieleza, isije kuwa nako ulikalamba !
  4. G

    Mbeya na mambo yao

    Hapana, mashamba makubwa ya chai nchini yanapatikana Mufindi, mkoani Iringa ambako asilimia 90 ya chai yote inayozalishwa Tanzania na kutumika nchini hupatina na pia kuchangia asilimia 60 ya chai yote inayouzwa nje ya Tanzania
  5. G

    Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Kumiliki si tatizo-utunzaji sasa; asubuhi,mchana,usiku kiunoni; ikipotea tu ujue unaamkia mahabusu
  6. G

    tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    "actually,adverts mislead custumer"
  7. G

    Tancut Almasi - Mama

    Mmenikumbusha mbali mno ! Mungu aiweke roho ya marehemu Kyanga mahali pema peponi. Hawa jamaa walikuwa ni sehemu ya familia yangu hata kuibuka na "LUPEMBE NISEMEE NA IMMAa"
  8. G

    Nini tofauti ya hizi picha 2 ??

    Haipendezi kwa kuwa waweza zimikakwa pressure- INASTUA MNO. USIFUNGUE
  9. G

    Chuo kipya kihesa-iringa kwa hehe wote

    Tunasubiria vyuo vya maeneo mengine
  10. G

    Waziri Mkuu wangu yu wapi???

    PM wetu ni mwaadilifu na mkweli anayejali mno wananchi-tatizo ni mfumo. Watendaji wakuu wote wanateuliwa na Rais na wanawajibika kwake; yeye afanye nini ! Halmashauri zetu anazijua mno na wengi wa watendaji wake wakuu alishatamka kwamba ni wabovu na wabadhilifu lakini kuwawajibisha ni tatizo la...
  11. G

    Baraza la Mawaziri Kukutana Jumamosi

    Ya LOLIONDO kwa BABU ndiyo yatakayo tawala kikao ! Kwani ya uchumi kuporomoka si ya leo wala jana licha ya umeme ambao una zaidi ya miaka 6
  12. G

    Mary Chitanda Bungeni

    anaitwa mary chatanda, ni kweli waliomtuma wana maelezo ya ziada lakini naye kabeba sehemu ya dhambi ya mauaji
Back
Top Bottom