Search results

  1. Hassan Enzi

    Nahitaji Shule ya kufundisha kwa kujitolea

    Natafuta shule ya KUJITOLEA nafundisha masomo yote ya shule za msingi. Pawepo na angalau ya maji. Mana kitaa kinachosha
  2. Hassan Enzi

    MSAADA PLS

    Natafuta shule inayofundisha pre-form one iwe ya BOARDING iwe ▶DAR ▶PWANI 0654327260
  3. Hassan Enzi

    TANGAZO TANGAZO TANGAZO

    HAPPYLIFE COLLEGE chenye namba ya usajiri IAE/05/0311 Kilichopo Mkoani Arusha Kinawatangazia wahitimu wa darasa la 7, kidato cha nne na kuendelea nafasi za masomo yatakayo anza tarehe 23/09/2019 KOZI ZITOLEWAZO 1, HOTELMANAGEMENT. (kwa kidato cha nne na kuendelea) 2, TOUR GUIDE (kwa kidato...
  4. Hassan Enzi

    TANGAZO TANGAZO TANGAZO

    Tangaz
  5. Hassan Enzi

    WALE WA LITILATURE KARIBUNI

    HIV/AIDS has become the giant killer in Africa societies'' Varify this statement by using one novel you have read
  6. Hassan Enzi

    Kitangali TTC, tushauriane hapa

    Habalrini wna jf :( Kwa yeyote yule aliyechaguliwa chuo cha ualimu Kitangali kilichopo Mtwara naomba tukutane hapa tufahamiane na pia tujuzane mengi kuhusu masuala ya chuo. Ahsanteniiiiiiiiii:D:rolleyes::oops:
  7. Hassan Enzi

    Msaada wa vyuo vya ualimu kwa Arusha na Kilimanjaro

    Wana JF naombeni msaada naombeni mnitajie vyuo vya ualimu wa msingi vya serikali vinavyopatikana mikoa ya Kilimanjaro au A r u s h a kwa mwenye kufahamu
  8. Hassan Enzi

    Amekumbwa na matatizo anaitaji msaada wa JF

    Habarini wakuu, nina bro wangu amemaliza kidato cha 6 na ame fanikiwa kupata matokeo PHY E CHEM D MATH D G.STUD S amefanikiwa kupata chuo kwenda kuanza degree lakini daaa! bahati mbaya pesa ikawa ndo mtihani kwahiyo anaomba kama kuna kazi yeyote hile iwe ya harali kama kuna mtu anaweza...
  9. Hassan Enzi

    Afanyaje na wakati kwenye profile yake inaonyesha kashachaguliwa kujiunga na chuo?

    Wana msaada wenu hapa, kuna dogo alichaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu kwa mwaka wa masomo 2016/2017, baada ya kuchaguliwa akakipigia simu kile chuo kwamba kimtumie joining maana hata website yao ya chuo walikuwa wameificha haipatikani prof,sasa ayo majibu aliyojibiwa kutoka chuoni na mkuu wa...
  10. Hassan Enzi

    Msaada ndugu zangu: Asome kozi gani kwa matokeo haya?

    Best wangu mmoja amemaliza mtihani wa kidato cha nne mwaka 2015 amepata div 3 ya 24, BIOS = C HIST = D MATH = D CHEM= C CIV =C KISW = C PHY = F GEO = D ENG= D Anaitaj kwenda chuo, mwenyewe anataka msaada wa kujua, je kuna kozi nyingne za kusoma ukiachana na ualimu wa msingi?
  11. Hassan Enzi

    college issue

    habarn wadau, naombeni msaada kwa mwenyekuvijua vyuo vya ualimu vilivyopo mkoa wa Arusha, ualimu kwa shule za msingi, viwe vya selikari, kwamwenyekuvifaham pls antajie
  12. Hassan Enzi

    Anyefahamu chuo cha Safina teachers college Kinondoni, anijulishe tafadhali

    wakuu naomba msaada wenu kwa mwenye kukifahamu chuo cha Safina teachers college kilichopo kinondoni nawaomba mnisaidie website ya ikichuo,naombeni msaada wenu,, 0658831336
  13. Hassan Enzi

    Natafuta shule nzuri ya A-level mchepuo wa CBG yenye ada isiyozidi laki 8

    Habarini wakuu, Please nilikuwa naombeni msaada wenu, kuna ndugu yangu amemaliza kidato cha nne mwaka jana 2015 amepata division 3 ya 25 but hakuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano, Nilikuwa naomba msaada kutoka kwenu kwani natafuta shule yoyote ya private ambayo ada yake ni nafuu isizidi...
Back
Top Bottom