Hassan Enzi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 207
- 53
Best wangu mmoja amemaliza mtihani wa kidato cha nne mwaka 2015 amepata div 3 ya 24,
BIOS = C
HIST = D
MATH = D
CHEM= C
CIV =C
KISW = C
PHY = F
GEO = D
ENG= D
Anaitaj kwenda chuo, mwenyewe anataka msaada wa kujua, je kuna kozi nyingne za kusoma ukiachana na ualimu wa msingi?
BIOS = C
HIST = D
MATH = D
CHEM= C
CIV =C
KISW = C
PHY = F
GEO = D
ENG= D
Anaitaj kwenda chuo, mwenyewe anataka msaada wa kujua, je kuna kozi nyingne za kusoma ukiachana na ualimu wa msingi?