Hassan Enzi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 207
- 53
Wana JF naombeni msaada naombeni mnitajie vyuo vya ualimu wa msingi vya serikali vinavyopatikana mikoa ya Kilimanjaro au A r u s h a kwa mwenye kufahamu
Marangu ttc
poah poah pamoja xanaMarangu ttc
hapana sisomi kwa ajili ya kuajiriwa na hao jamaabado unahitaji kusomea uwalimu wa shule ya msingi na upimbi wote huu unaofanyika na serikali...!!!!
poah ndugu, nishakipata kipo gudasinga chini
poah ndugu nitavichekMarangu, Mandaka, Singachini,Green bird , Monduli, Patandi, Jordan, Arusha