Hassan Enzi
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 207
- 53
Wana msaada wenu hapa, kuna dogo alichaguliwa kujiunga na chuo cha ualimu kwa mwaka wa masomo 2016/2017, baada ya kuchaguliwa akakipigia simu kile chuo kwamba kimtumie joining maana hata website yao ya chuo walikuwa wameificha haipatikani prof,sasa ayo majibu aliyojibiwa kutoka chuoni na mkuu wa chuo kiukwel yanakera.
Yakamkatisha tamaa kabisa dogo na isitoshe hata katika ile profile ya ukiifungua utakuta amechaguliwa chuo ila hakufanyiwa CONFRIMATION, sasa anataka kufanya application kwa mwaka wa masomo 2017/18, Je afanyaje na wakati kwenye profile yake inaonyesha kashachaguliwa kujiunga na chuo.
[HASHTAG]#msaada[/HASHTAG] wana