Amekumbwa na matatizo anaitaji msaada wa JF

Hassan Enzi

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
207
53
Habarini wakuu,
nina bro wangu amemaliza kidato cha 6 na ame fanikiwa kupata matokeo
PHY E
CHEM D
MATH D
G.STUD S
amefanikiwa kupata chuo kwenda kuanza degree lakini daaa! bahati mbaya pesa ikawa ndo mtihani
kwahiyo anaomba kama kuna kazi yeyote hile iwe ya harali kama kuna mtu anaweza kumpatia ili a make make apate angarau cha kuanzia chuo, msaada wakuu
 
kuna mtu alishawahi kula ban sababu ya kuleta mada za kumsemea mtu ambaye in reality angeweza kujisemea mwenyewe
 
kuna mtu alishawahi kula ban sababu ya kuleta mada za kumsemea mtu ambaye in reality angeweza kujisemea mwenyewe

sikia dogo,hukurazimishwa kureply, maama badala ya kutoa msaada unataka kujua mengine we yann?
 
Back
Top Bottom