Search results

  1. wang'ambo

    Picha4 Basi la NewForce toka Tunduma lilivyofanya ajali leo

    BREAKING NEWS! TAARIFA ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE. NEW FORCE YA KUTOKA TUNDUMA KWENDA DAR IMEGONGANA USO KWA USO NA LORI MAENEO YA IGULUSI. KWAHIYO WENYE NDUGU WALIOKUWA WAKISAFIRI LEO KUTOKA TUNDUMA AU MBEYA KWA NEW FOECE, FANYENI MAWASILIANO NA NDUGU ZENU HAO KUWEZA KUJUA USALAMA WAO
  2. wang'ambo

    TAHADHARI: Utapeli mpya waingia makanisani/misikitini

    Habari za leo wanaJF, napenda kuwajuza ulimwengu ulipofika wadau, Na hii ni baada ya ajira kuwa mziki, kuna aina ya utapeli unaoendelea sasa hivi katika makundi/taasisi za kidini na ngo's flani flani, jana baada ya kutoka ibadani niliandikiwa msg toka namba flani akidai yeye ni mtangazaji toka...
  3. wang'ambo

    Hussein Pambakali kizimbani kwa utapeli wa 75ml

    MMILIKI wa maduka ya nguo Jijini Dar es Salaam,Hussein Mkangala (38) maarufu 'Hussein Pamba Kali' amefunguliwa mashtaka ya kesi ya madai baada ya kushindwa kulipa Sh.Milioni 75 alizokopa kutoka kwa Anna Kiabi. Shauri hilo lilitajwa leo katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ambapo upande wa...
  4. wang'ambo

    Picha: Mlevi anusa kifo akijaribu kuvuka upande wa pili wa barabara

    Ni mwanaume mmoja jina halikuweza kupatikana maramoja amenusa kifo akiwa chakali (kalewa) muda mfupi uliopita majira ya saa12 jioni leo December 01 katika H/mji Kahama alipokuwa akijaribu kuvuka barabara kuu akitokea upande wapili bila kuchukua tahadhari.
  5. wang'ambo

    Mganga atuhumiwa kumbaka mgonjwa wake, apigwa mpaka kufa

    Wananchi wenye hasira kali wamemuua mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la Kashinje Kashinje(55), mkazi wa kijiji cha Singita kata ya Usanda wilayani Shinyanga kwa kumshambulia kwa silaha za jadi wakati akijaribu kumbaka mwanamke mwenye umri wa miaka 20 (jina linahifadhiwa) aliyefika...
  6. wang'ambo

    Ajali mbaya yaua bodaboda Kahama

    Habari wana JF imetokea ajali mbaya muda huu barabara kuu hapa Phantom Kahama mjini iliyohusisha bodaboda na Pickup nimechukua clip imenizingua ku upload nafanyeje?
  7. wang'ambo

    Menye Com aina ya MAC anicheck inbox USED

    Nahitaji Computer yenye Ram GB 8 nakuendelea kiufupi yenye uwezo mzuri iwe mpakato kwa matumizi upande wa Vidéo Editing.
  8. wang'ambo

    Natafuta Computer MAC yenye uwezo mzuri USED

    Nahitaji Computer yenye Ram GB 8 nakuendelea kiufupi yenye uwezo mzuri iwe mpakato kwa matumizi upande wa Vidéo Editing.
  9. wang'ambo

    Kiwanja Changu Kinamgogoro

    Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria hapo nani anastahili kulishughulikia hili?, maana nimeongea na yule alieniuzia japo malipo sijamaliza...
  10. wang'ambo

    Kiwanja Changu Kinamgogoro

    Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria hapo nani anastahili kulishughulikia hili?, maana nimeongea na yule alieniuzia japo malipo sijamaliza...
  11. wang'ambo

    Je! Ipo kibiblia mchungaji kutembea na bodygurd?

    Katika siku za sasa watumishi wengi hasa wanaojiita manabii na mitume utawakuta wanatembea na walinzi wawili mpaka wanne Je!, hii ipo kimaandiko au ni mambo ya utandawazi? na kama ipo imeandikwa wapi? kitabu gani katika Biblia naomba kuwakilisha.
  12. wang'ambo

    Kuna tukio katika Video naliwekaje hapa?

    Habari za jioni wana JF mie mgeni hapa JF, kuna matukio mengi nayapata nasijui nina upload vp yakiwa katika mfumo wa Vidéo.PLZ msaada.
  13. wang'ambo

    Polisi feki adakwa Mwanza

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Ahmed Gabo umri wa 22 kwa tuhuma za kukutwa amevaa sare za jeshi la Polisi kinyume na sheria, Gabo anadaiwa kuiba sare hizo, millardayo.com na Ayo TV imempata Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa Mwanza, Ahmed Msangi na amezungumza haya……… >>‘Kwa jinsi...
Back
Top Bottom