Picha: Mlevi anusa kifo akijaribu kuvuka upande wa pili wa barabara


wang'ambo

wang'ambo

Senior Member
Joined
Nov 29, 2015
Messages
110
Likes
22
Points
35
wang'ambo

wang'ambo

Senior Member
Joined Nov 29, 2015
110 22 35
Ni mwanaume mmoja jina halikuweza kupatikana maramoja amenusa kifo akiwa chakali (kalewa) muda mfupi uliopita majira ya saa12 jioni leo December 01 katika H/mji Kahama alipokuwa akijaribu kuvuka barabara kuu akitokea upande wapili bila kuchukua tahadhari.
 

Attachments:

W

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2015
Messages
704
Likes
379
Points
80
W

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2015
704 379 80
Duh hatari sana...
Pole yake...
Lakini walev wote uwaonao ni watu walio athirika kisaikolojia... wengi ni wapo kwenye msongo wa mawazo...matatizo ya kiuchumi ...matatizo ya kijamii na matatizo ya kifamilia...
Ni jambo jema kama tukiwa na watu wa karibu ambao ni walevi kuwaelewa na kujaribu kwa namna yoyote ile kuwarudisha katika hali ya kawaida...

Msaada mkubwa wanao uhitaji ni wakisaikolojia na tusiwatenge kwa kuwaona ni watu wa ajabu ...kinachofanya wawe hivo ni matatizo ..mtu asipopata msaada mzuri wa kimawazo kuhusu janga alilonalo ndo anajiingiza katika matumizi ya pombe ..ambapo hiyo pombe si suruhu bali ni kitu kiletacho balaa zaidi.

Tunahitaji kuwasaidia watu wa namna hii jamani ..

Wengi huwa tunawaona walevi kama watu wa ajabu lakini kabla hajanywa unakuta ni mtu mwema na mstaarabu sana...

Ni matatizo yasababishayo saikolojia kuharibika hupelekea mtu kuwa mlevi...

Hakuna mtu anayependa kuwa mlevi ( mnywaji kupindukia ) kiuhalisia ni kwamba mtu hupenda kunywa kwa starehe na si kuzidi kiwango chake na hiyo ndo furaha kwa mnywa pombe..
 
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Messages
6,306
Likes
9,075
Points
280
CHARMILTON

CHARMILTON

JF-Expert Member
Joined May 30, 2015
6,306 9,075 280
Kila siku wasukuma wanaambiwa wawe makini wanapovuka barabara lakini hawasikii.
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,186
Likes
7,621
Points
280
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,186 7,621 280
Pombe itakuwa imemwisha
 

Forum statistics

Threads 1,273,817
Members 490,485
Posts 30,492,954