Search results

  1. milliondollar

    Looking for a female company

    Kumbe fursa bado ipo haya tunasubiri pm:D
  2. milliondollar

    Looking for a female company

    Uwii kwanza hadi nmeogopa sio kwa story zile:oops::oops:
  3. milliondollar

    Looking for a female company

    Too bad am above 23yrs;););)
  4. milliondollar

    Fursa kwa mwalimu wa Bagamoyo

    Kama una zaidi ya mwaka mmoja hapo nina imani utakua umeona baadhi ya changamoto katika eneo hilo unaloishi,basi jaribu kutumia changamoto hizo kama fursa.
  5. milliondollar

    Huduma ya usafi majumbani na ofisini.

    Je unawaza jinsi ya kuhamia kwenye nyumba yako mpya jinsi gani utasafirisha mizigo,utapangaje nyumba yako ?basi haina haja ya kusumbuka kwani tupo kwa ajili yako.tunatoa huduma zifuatazo.. Usafirishaji mizigo kutoka sehemu moja na Nyingine .usafi majumbani na ofisini (deep cleaning) .usafi wa...
  6. milliondollar

    The Working Class, Savages in Suits

    jumapili ndo hiyo ishafika..tunasubiri
  7. milliondollar

    HUDUMA YA USAFI MAJUMBANI NA OFISINI.

    Habari ndugu zangu..kama nilivyoeleza hapo juu tunatoa huduma za usafi majumbani kama nyumba ni mpya na unataka kuhamia au hata nyumba unayoishi tunafanya deep cleaning,kufua,kupanga na decoration za kisasa huduma hizo tunatoa ..kwa mawasiliano na maelezo zaidi 0767626990 0714835965...
  8. milliondollar

    The Working Class, Savages in Suits

    Valentine kiboko ..team KLM
  9. milliondollar

    Kabati la nguo linauzwa

    Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,nauza kabati la nguo la milango miwili limetumika miezi sita tu ,sababu za kuuza nahama mkoa.kabati lipo dar bei ni 180k maongezi yapo,nipm namba yako kama upo interested au nicheck kwa 0767626990.kwa picha na maelezo. NB:nmeshindwa kuattach picha...
  10. milliondollar

    Viatu vizuri from uk kwa wadada.

    Ni viatu vya mtumba grade a unapata kwa bei ya 35000 viatu vya ukweli...naatach picha.nipm kwa mawasiliano au whatsaap me 0767626990.kwa picha na mawasiliano
  11. milliondollar

    Mrejesho: Nipo njia panda

    Hahahaaaaaaaa
  12. milliondollar

    Nina 200,000 unanipa simu

    Mkuu nikupe galaxy note 1 ipo katika hali nzur..npm
  13. milliondollar

    Msaada.

    Asante mkuu kwa ivo unanishauri nibadili battery.
  14. milliondollar

    Msaada.

    Wakuu naomba msaada nina simu aina ya samsung galaxy note 1 ,ina tatizo la kujizima pindi tu inapokaribia kuisha chaji halafu hainialert inakua kama na vimulimuli af inazima.pia nikiiacha usiku hata kama inachaji asubuhi nakuta imezima.please mwenye kujua tatizo anisaidie.
Back
Top Bottom