Search results

  1. G

    Sitasahau siku niliposhuhudia rafiki yangu akimezwa na chatu

    Pole sana mkuu,,,"lakini kwanini usingejipa ujasiri wa kupambana na chatu..kwani chatu hawezi kupambana na watu wawili,,"lazima angekimbia.. Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
  2. G

    Wale waishio mikoa ya nyanda za juu kusini, tufahamiane hapa

    Sawa sawa inabidi tutafutane tujuane mkuu Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
  3. G

    Akosa matibabu MOI kutokana na urefu wake

    Mkuu siyo futi nane umekosea ni futi saba na nchi nne
  4. G

    Watanzania ndio watu wanafiki zaidi duniani

    Nikweli kabisa mkuu,,sisi watanzania tupo radhi kumshabikia mzungu kavaa chupi tu na tukamkosoa mwafrika alie vaa suti
  5. G

    Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Wewe mwenyewe kuandika haujui,,eti wavivu n wazembe ndio nini sasa
  6. G

    Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Nmecheka sana daaaah jaman
  7. G

    Je, Lowassa angeweza kusimama masaa 2 kujibu maswali?

    Mkuu una akili sana kwa mwenye akili timamu amekuelewa kula gwala[emoji106]
  8. G

    Utakuja jutia, usioe msichana mliekutana ukubwani especially miaka 25+

    Sasa mkuu unakuta mtu anamiaka 25 amtafute yupi sasa akue nae,,ili baadae aje kuoa huyo
  9. G

    Anasema namuumiza wakati duuduu

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana,,kwa mawazo yangu sikuwahi kufikiri kama tutafika huku kipindi kama hiki,,,mtu una sx na du wako unakuja kuomba ushauri huku kweli,,,,
  10. G

    Kuanzia kesho hadi kiama sitonunua tena haya Magazeti yafuatayo

    Hapo hapo kuna watu wanamsifia mfalme kajibu maswali vizur,,,kwiiikwiiii
  11. G

    Magufuli hakuna cha katiba mpya ndani ya miaka 4 ya kujidai

    Sawa hata kama alikua sahihi,,alikua wapi kuongea kipindi hicho..Naona hii ni kumtukuza mfalme...
  12. G

    Prof. Jay, mrudishe huyu mdada kwenye ramani

    Hapana mkuu siyo paulina alieimba
  13. G

    Hussein Bashe ameongozwa na chuki dhidi ya rais Magufuli na Serikali yake

    Nikweli mkuu tatizo la ccm ukiongea ukweli tu unampinga mfalme,,yani hawataki kukosolewa kabisa na maendeleo hayaji kwa namna hii..Lazima tukubali mapungufu tuliyo nayo
  14. G

    Arusha: Mwanafunzi wa Chuo cha Tumaini, Makumira abakwa hadi mauti

    Sawa mkuu nmekupata sana umenena vyema [emoji106]
  15. G

    Godbless Lema: Utalii umeporomoka kwa 48%, Tanzanite 40%...tunakwenda wapi?

    Kweli kabisa mkuu,,maana wanamdanganya sizonje hajui chochote kinachoendelea anachojua yeye ni hapa kazi tu...
  16. G

    Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Wewe ni nani hasa mpaka uchunguze makosa ya Mungu,,,je na ninani aliye kwambia Mungu anamakosa,,Mungu atusamehe sana....
Back
Top Bottom