Search results

  1. K

    Admission postgraduate UDSM 2016

    Kama elimu ni ghali jaribu...
  2. K

    Siamini kama kwa utawala huu wa Rais Magufuli kuna Mwanafunzi atakayegoma

    Duuh kuna watu uwezo wa kufikiri mdogo sana... So Rais ana mfukuza mwanafunzi chuo siku hizi? Acha porojo za kisiasa. Moja ni muhimu kama nchi kuwekeza kwa vijana, ni elimu pekee ndio urithi bora kwa watanzania. Mbili Rais mwenyewe amekili kuna matatizo bodi, wizarani na TCU. Tatu...
  3. K

    Mafuta ya taa kwenye msosi shule za bweni, ni kweli yanapunguza nyege?

    Juu ya hili, kimsingi hakuna uthibitisho wowote wa kisayansi unaoonesha kuwa mafuta ya taa hupunguza ashki. Kilichokuwa kinatokea, sina hakika kama kinaendelea ni imani tu. Nimekula hiyo kitu kwa miaka 6, very disturbing lakini kulikuwa hakuna namna. Na hii imani haikuwa kwa Tanzania tu...
  4. K

    Kwanini wakaka mnapenda sana "makalio yetu" wanawake......na nyie simnayo?

    Kwa kweli mwanamke asiye na kampododo labda nitumie tu lakini, wale walowahi kuwa wapenzi kama wapenzi na mke kama mke kampododo lazima... Inye ina raha yake bana inakupa hamasa shuka panda, shuka panda
  5. K

    Marekani yaisaidia Tanzania walimu wa science

    Kukurupuka, Ushamba na kukosa taarifa, hawa walimu wa aina hii huja kila mwaka moja. Mbili na bichwa lako looote unaona walimu 52 wanaweza kumaliza tatizo la walimu wa sayansi kwenye shule zaidi ya 1000? Una kurupuka na kuanziasha hoja nyambafu get well informed
  6. K

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Usiseme labda Biblia wewe thibitisha usemayo.
  7. K

    Nafikiri Biblia na Qur'an ni project zilizofanywa na wanadamu - Prove me wrong!

    Ina badirika ndio maana kuna madhehebu tofauti ndani ya Uislam
  8. K

    Old Skool Bongo Hip-Hop & R n' B

    1.Adhabu gani Mabaga & Nature 2. Zero Mabaga/Nature 3. Msafiri Kwanza Unit 4. Mikononi mwa Polisi 2Proud 5. Kazeze OCG 6. Mtulize Mabaga 7. Nini Chanzo na nyingine nyiiiiingi
  9. K

    Wasanii wakongwe na frustration za kufanikiwa

    Just a marketing strategy hakuna ubaya kutumia akaunti ya dogo. Mengine kapuni
  10. K

    Open university of Tanzania

    Wanaosoma Open kama wewe ni waliofeli siku zote
  11. K

    Open university of Tanzania

    Utakuwa umesoma SAUT ama Tumaini vyuo vya kinyamera na kihuni
  12. K

    Open university of Tanzania

    Umesoma machakani chuo hakina hata hakitbuliwi kokote wajikweza nyambafu
  13. K

    Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

    Kasome acha uongo
  14. K

    Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

    Winning with a team haimaanishi kuwa bora ila unaposhinda ukiwa ndani ya timu na nje ya timu
  15. K

    Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

    Gaucho ni kiumbe mwingine
  16. K

    Iniesta na gaucho, Nani zaidi?

    Iniesta ni chekechea wakati Gaucho ni Chuo kikuu
Back
Top Bottom