Search results

  1. peck

    Mahakama Kuu Dodoma: Joshua Nassari ashindwa kesi yake ya kuvuliwa ubunge

    Yajayo yanafurahisha, tusubiri tutasikia mengi
  2. peck

    CHADEMA wakanusha taarifa ya NEC kuwa wamesimamisha mgombea ubunge jimbo la Singida Kaskazini

    W Wanakanusha kwenye vyombo vya habari lakini kiuhalisia wamechukua form na wamerudihsha, iko kwenye ubao wa matangazo wa msimamizi wa uchaguzi wa jimbo na fomu hiyo ipo mgombea ni DAVID DJUMBE
  3. peck

    TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    May His Soul Rest In Peace
  4. peck

    Wapinzani Kujiunga CCM: Wanaikubali CCM Imebadilika?, Wanamkubali Magufuli na Kumfuata?, Au ni Njaa Zimewakimbiza?.

    Hawo wamefuata ulaji/maslahi binafsi rejea Kitila Mkumbo amehamia CCM baada ya kupewa wadhifa katika serikali ya ccm, na hata Law Masha baada ya kukosa nafasi ya ubunge wa A. Mashariki na kwa sasa "Vyuma Vimebana" ameamua kurudi kundini na ameweka bayana anachokitaka. ameomba ikipatikana nafasi...
  5. peck

    Mume anahitajika 36+

    Hapo kwenye Pombe nimekosa sifa hivi hivi
  6. peck

    Nilikosea kuolewa na huyu, nimekutana na perfect choice kazini

    Good narration. Jiingize kwenye utungaji wa riwaya utatoboa
  7. peck

    Niulize kuhusu mashine za ujasiriamali na upatikanaji wake

    NASUBIRI JIBU LA HIZI MASHINE PIA
  8. peck

    Kardinali Pengo: Maisha yamekuwa nafuu sana awamu hii

    sina uhakika kama ndivyo kweli
  9. peck

    Najiuliza tu, Rais Magufuli atafanyaje Kampeni 2020?!

    wakurugenzi wa wilaya zote ni wateule wa rais, makatibu tawala wa mikoa na wilaya, wakuu wa mikoa na wilaya, mwenyekiti wa tume ya uchaguzi, jaji mkuu n.k. hapo sasa
  10. peck

    Polisi: Yeyote mwenye taarifa za uhakika za aliyemlenga Nape kwa bastola atujulishe

    Mimi bado sipati picha hili suala linavyokwenda Inawezekana kweli raia/muhalifu kumiliki silaha bila uhalali na ashindwe kujulikana? hivi inawezekana huyo raia/muhalifu akamtolea Nape bastola ili tu asifanye mkutano na waandishi wa habari? na ni sababu gani huyo raia/muhalifu zilizomsukuma...
  11. peck

    Ulishawahi kuwa addicted?

    Hapo tukumbushane kesho na miminaweza kuacha etii
  12. peck

    DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Soo sad, May the Lord stand on your side our MP. and heal you
  13. peck

    Madaktari wa Serikali wanaojiongezea kipato kwenye Hospitali binafsi kukiona...

    inabidi sasa hata wateule wa rais wawe "Professionals" na sio wa kujua "three R" mi nadhani tatizo ndio linaanzia hapo coz kila mmoja anataka kufurahisha mamlaka ya uteuzi na ndio maana katika kipindi cha uongozi huu matamko yamekua mengi kila mmoja na anavyojisikia kutoa ili boss aone kazi...
  14. peck

    Kupotea kwa Ben Saanane: Hoja za wananchi, kinachoendelea na maoni ya Waziri Mwigulu

    Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza brother, naamini wengi wetu tunamfahamu ben kwa kusoma maandiko yake vivyo hivyo tumesikia kupotea kwake kupitia media na hatujasikia juhudi za serikali kuhusu kupatikana kwa ndugu yetu huyu (japo la faru joni lilifanyiwa kazi haraka sana) rai yangu kwako...
  15. peck

    MAISHA: Uzuri wa mke ni tabia. Je, uzuri wa mume ni nini?

    Uzuri wa mume pesa ili aweze tunza familia
Back
Top Bottom