Ngugu wana jf nimeleta hii thread kuhusu ngombe anaye zaa mapacha:
UKWELI NI KWAMBA:Endapo ng'ombe ata zaa mapacha na akawa amezaa jike na dume hio product haitaweza kuzalisha tena ila endapo wakazaliana wa jinsia moja watakuja kuzaa kama kawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi serikal inaposema nikaji ajiri inanichanganya sana , maana ya kujiajiri nini labda ? Maana ukisema uingie kwenye kilimo ni ngumu zote tunaona mvua hazipo pia kilimo kinahitaji capital pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana jf kule nchini uingireza kila day tunaskia kuhusu swala LA BREXIT ambalo alilianzisha huyu mama , bunge la uingereza wanavutana sana kuhusu hilo jambo la BREXIT , . swali je unahisi kujitoa kwa uingereza katika nchi za umoja wa ulaya itakuwa ni faida kwao au hasara ?
Sent using Jamii...
Sasa ukisema mtu mtu apewe elimu ya kujitegemea wakat syllabus ya mfumo huu wa kujitegea hatuna , . sasa ukisema ivo je upungufu wa wawalimu , madaktar na wahandisi itakuwaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
WanaJF nimeleta huu Uzi tujadili kuhusu tatizo la ajira. Sote tunajua kuna vijana wengi mtaani wanalia ajira , pia tunajua jinsi gani mashule mengi hayana walimu.
Pia mahospitali wataalam hawatoshelezi . Je, Serikali yetu imeshindwa kuajiri ? Au haina imani na wahitimu?
Hebu tujadili kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.