Nguvu ya ushawishi aliyonayo Teresa May

Oct 26, 2015
55
18
Wana jf kule nchini uingireza kila day tunaskia kuhusu swala LA BREXIT ambalo alilianzisha huyu mama , bunge la uingereza wanavutana sana kuhusu hilo jambo la BREXIT , . swali je unahisi kujitoa kwa uingereza katika nchi za umoja wa ulaya itakuwa ni faida kwao au hasara ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hasara kwao waingereza walipiga kura ya kujitoa kwa mihemuko tu na wengi hawakuwa na sababu za maana. Leo hii zoezi likirudiwa basi wengi watapiga kura wabaki. Waingereza walijiona wao ni bora sana na muhimu kuliko members wengine wa EU sasa wanajuta wanakula chumvi.
 
Hivi hii michakato hii kwa uingereza si ngarama sana jamani kwa nchi yaani kila siku brexit
 
Back
Top Bottom