Search results

  1. manyoda

    Asilimia kubwa ya wanawake ni wabovu kitandani

    Ahsante sana dada. Nimeipenda hiyo.
  2. manyoda

    Asilimia kubwa ya wanawake ni wabovu kitandani

    Haswaaa umenena! Siku zote changamoto tunatakiwa kuzibadili kuwa fursa. Haifai kulalama, chapa kazi, toa mafunzo ie. Mentorship
  3. manyoda

    TAFAKURI

    Habari ndugu zangu! Katika mambo ambayo watu wa kisasa tumekosa, hasahasa wakazi wa jiji la Dar, jiji la foleni ni kukosekana kwa muda wa kutafakari. Hii pia inaendana na kujengeka kwa tabia ya kufanya mambo bila kufikiria kwa umakini na undani juu ya jambo hilo....manufaa na madhara yake! Hali...
  4. manyoda

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Just as natural as this....! Kweli ndugu
  5. manyoda

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Nami naomba undugu. Ni mtu safi sana
  6. manyoda

    Wana Azania tukutane hapa

    Nimevaa khaki mkuu. Kabla ya shule kuchakachuliwa
  7. manyoda

    Wana Azania tukutane hapa

    Habari za leo! Azania sekondari ni moja ya shule kongwe nchini ambayo huko nyuma ilikuwa na historia nzuri ya kufaulisha na kutoa vijana wazuri kichwani. Kama uliwahi kupitia pale tafadhali jitokeze hapa na utukumbushe historia ya wakati wenu pale Azania. Ahsanteni sana
  8. manyoda

    Which is the correct sentence?

    Zote ni sahihi. Inategemea unataka kumaanisha nini
  9. manyoda

    Matumizi ya neno ''Gone''

    She is gone ni kitendo kinachomaanisha kuwa mtu mwengine amemsababishia kuondoka mara nyingi without willing.... Sawa na kusema she is beaten, yaani ameondoshwa na amepigwa resp. She has gone hii ni present perfect tense... Yaani ameondoka.
  10. manyoda

    Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

    Mwoneni dkt. Kwa huduma ya nyumbani ale matango Kila baada ya mlo. Aepuke kunywa maji mpk nusu saa baada ya kula. Pole sn kwa mashambulizi yasiyo busara. Hii ndio JF bana....
  11. manyoda

    Warumi: Nipo Live JF now, ask anything about me

    Technically hapa umeshfk leeks na kuji expose kuwa wewe ni KE.
  12. manyoda

    Makapuku Forum

    Mm nina vigezo vilivyotajwa... ila jina la kapuku silikubali hata kwa istilahi iliyotolewa hapo juu. Tutafute jina jengine
  13. manyoda

    Niagize gari Japan au ninunue used hapa hapa Tanzania!?

    Analysis nzuri sana. Ngoja tukusaidie kutafuta. Will let you know.....
  14. manyoda

    Niagize gari Japan au ninunue used hapa hapa Tanzania!?

    Angalia mfuko wako, gari aina gani unataka? gharama za usafiri, ushuru kisha fanya maamuzi Angalia mfuko wako, gari aina gani unataka? gharama za usafiri, ushuru na bandarini then fanya maamuzi.
  15. manyoda

    Jakaya Kikwete is 2015 African Statesman of the Year

    I am afraid your prediction may be wrong and it is just as biased as... the role he played in Kenya post election is remarkable and memorable...and is an indicator for his future position in resolution of conflicts (hatuombi zitokee)!
  16. manyoda

    KUFIKIRIA KABLA YA KUFANYA

    Habari ndugu zangu! Katika mambo ambayo watu wa kisasa tumekosa, hasahasa wakazi wa jiji la Dar, jiji la foleni ni kukosekana kwa muda wa kutafakari. Hii pia inaendana na kujengeka kwa tabia ya kufanya mambo bila kufikiria kwa umakini na undani juu ya jambo hilo....manufaa na madhara yake! Hali...
  17. manyoda

    Uzinduzi wa Halotel: Tusaidiane Kukonekti Dots

    Acheni propaganda nyie...mimi nimenunua line na nimesajili kwa kitambulisho changu cha uraia....au nyie ni mawakala wa baadhi ya mitandao...!
  18. manyoda

    Kashfa ya usaili: Utumishi yavunja rekodi ya Uhamiaji

    Tathmini nzuri sana mkuu! Uchambuzi ulio makini! Mh. Ghasia yupo TAMISEMI sio utumishi!
Back
Top Bottom