Search results

  1. M

    Tanzania inawezekana ni kimondo kilichovunjika huko motoni kikadondoka duniani !

    Hii nchi inawezekana ni kimondo kilichodondoka kutoka motoni baada ya Kuvunjika huko kikatua duniani ! Haiwezekani mwaka ;- 1961 tuliachiwa katiba nzuri na sisi hatukutumia tukaja na katiba ya 1962 ya jamuhuri. 1964 tukaja nagia ya muungano na Zanzibar na kutengeneza hati ya muungano na...
  2. M

    Tetesi: Lawlrence Masha asije kuwa anajiokotea hizi kampuni zinazopata kipigo na jiwe

    Leo kwenye you tube naona masha anasema kampuni yake ya new forests nikashangaa na kusema mmbona kila kampuni inayopigwa jiwe masha anasema yangu hiyo asije kuwa anajiokotea tu kama wale mwaka 1967 kuna wazee mashambaboy waliokota had I nyumba mitaa ya samora dsm
  3. M

    Mei mosi nà Tucta taifa na CCM

    Najiuliza hivi wafanyakazi wa Tanzania wanajua kuwa kiongozi wa Tucta ni kada wa CCM na alikuwa ni mgombea wa kura za maoni Jimbo la iringa mjini ndani ya CCM akashindwa Leo anapeleka sherehe za mei mosi kitaifa iringa Mara ya pili hata miaka 12 haijapita huyo kiongozi naona ni kama kibonzo...
  4. M

    Rais Magufuli achukizwa na kutokuwepo kwa banda la BAKITA kwenye maonesho ya Sabasaba

    Baada ya kufungua maonyesho ya Sabasaba leo jioni Mh. Rais Magufuli amekasirika sana baada ya kukuta katika maonyesho haya ya kimataifa hakuna banda la Baraza la Kiswahili(BAKITA). Anasema huwezi kukuza viwanda bila kuuza lugha yako kwenye soko unaloingia. Nimeingalia kamusi ile neno makinikia...
  5. M

    BARRICK kujenga kiwanda cha kuchengua mchanga mkoani Iringa

    Habari.zilizotufikia hivi punde kampuni ya barrick imeamua kujenga kiwanda cha kuchengua.mchanga katika mkoa wa iringa baada ya kutuma watafiti katika eneo hilo kwanza ;- Hali ya hewa ya.baridi Itawasaidia mitambo kutochoka haraka. Pili:- Miundo mbinu ya Barbara kuunganisha na nchi za Kongo...
  6. M

    Binadamu anahitaji kusifiwa na kushangiliwa katika mapambano ya maisha

    Baada ya kuona watu wanamkumbuka Kikwete ni vizuri na hii inawezekana dokta Magufuli alisikitishwa sana na kale kawimbo kenu mlikomwimbia Kikwete kwenye mkutano mkuu mnaimani na deshideshi hata ule mkutano mkuu wenu mliopitisha yeye alisema angekuwa yeye asingebaki mtu pale na sasa yeye ni...
  7. M

    Usafiri wa UDA kutoka Stesheni kwenda Oysterbay

    Miaka ya tisini lilipoanza azimio la Zanzibar kuwa viongozi wanaruhusiwa kufanya biashara mawaziri na vigogo wengi wa Oysterbay walianza biashara ya kufuga ng'ombe wa maziwa na kila nyumba Oysterbay ilikuwa na mfugo huo lakini nguvu kazi ya kuaminika ilitoka Shinyanga na Mwanza. Kizaazaa...
  8. M

    Kimbisa na Bodi yako, mmetupa spana kwa kazi za serikali au mmetupia mwenye gereji?

    Serikali hii kila awamu inayoongozwa na CCM toka mwaka 1977 huwa inaongozwa kama gari lipo gereji na Lumumba ndio service center kupitia vyombo vyake vya habari ndio utasikia milio ya spana. Sasa Bodi imejiuzulu ndio tuseme mnaacha kazi ya kurudishia injini kwa Serikali au kwa mwenye gereji...
  9. M

    PADRI ATOA ATAFSIRI YA CHAGUO LA MUNGU

    PADRE LEO ALIBANWA NA WAUMINI WAKE WAKIMTAKA ATOE TAFSIRI YA CHAGUO LA MUNGU KWA UCHAGUZI UNAOFANYWA NA WATU ALIANZA KUTOA MAFUNDISHO KWA KUSEMA Mimi Kama Padre Sina Ujuzi Wa Mambo Ya Siasa Ila Katika Utume Wangu Ya Upadre Nikiwa Masomoni Vatican Niliwahi Kushiriki Zoezi La Kuhesabia Kura Za...
  10. M

    PADRI ATOA ATAFSIRI YA CHAGUO LA MUNGU

    PADRE LEO ALIBANWA NA WAUMINI WAKE WAKIMTAKA ATOE TAFSIRI YA CHAGUO LA MUNGU KWA UCHAGUZI UNAOFANYWA NA WATU Yeye Kama Padre Hana Ujuzi Wa Mambo Ya Siasa Ila Katika Utume Wake Wa Upadre Akiwa Masomoni Vatican Aliwahi Kuhesabia Kura Za Kumchagua Papa Hivyo Kama Wapiga Kura Watamkataa Mgombea Kwa...
  11. M

    Walye Seif afanikiwa kubadilisha jina mahakamani sasa anaitwa usilete fyoko

    Walye Seif mkazi wa kitanzini mjini iringa aliyenusurika kifo kwa kula tonge la wali na nyama na likamkaba na kuokolewa kwa kupigwa ngumi kifuani na kunusurika kifo mwaka 2005 amefanikiwa kubadilisha jina lake la walye seif mahakamani na sasa atakuwa anatumia jina la Usilete Fyoko na amesema...
  12. M

    Kwa misemo ya kisalfasa KWENYE mkutano mkuu wa CCM yale mahewa hewa itakuwa jibu kwa Mzee Kingunge

    Baada ya kusikia misemo ya maprofesa na maphd holder kwenye mkutano mkuu Dodoma, nimejua kuwa hata ile misemo ya watumishi hewa miradi hewa wanasiasa hewa barabara hewa mtakuwa mnatoa majibu kwa yule mzee mshauri wenu mstaafu kuwa CCM imeishiwa pumzi. Sasa mnamuonyesha kuwa hewa CCM bado ipo...
  13. M

    TUNGEIMBA TUNAIMANI NA JK NAONA JPM NA SEKRETARIETI YA BARUA YA KUJIUZULU PANGENOGA UKUMBINI

    DAWA YA HAWA WATU SIKU ILE TUNGEJUA KUWA WALIKUWA NA MAWAZO YA KUTUNGURUMIA PALE UKUMBINI ILIKUWA TUIMBE TU WIMBO WA TUNAIMANI NA JAKAYA KIKWETE HALAFU TUONE NANI MWAMBA KATI YA JPM NA JK NA TUMALIZE MANENO MANENO
  14. M

    Mkutano wa CCM Dodoma ni kama ugomvi wa kuchinja; JK kaigeuzia CCM kibla na Magufuli ameshika kisu

    Ukiangalia kibinadamu mkutano mkuu wa CCM inaonekana kama wajumbe wanataka uwe kama ugomvi wa nani achinje kati ya Mh JK aliyeigeuzia CCM kibra na Mh JPM anaoneka kama anakuja na kisu kwa matukio yafuatayo maana Ole Sendeka anasema sisi tuliokuwa chini ya Mh JK tutatoka nduki na mwenyekiti...
  15. M

    Wataalamu wa Rwanda wawe na vitambulisho maalum na gari zao ziwe na namba tofauti

    Kama kweli wanakuja wapewe vitambulisho tofauti na wataalam wa kibongo na magari yao yawe na namba tofauti kama X-Rat (yaani Expert Rwanda Affiliated Tanzania) ili tuepuke matapeli wakajifanya ni maexpert wa Rwanda kumbe ni kutokuwa na uelewa wa teknolojia tu.
  16. M

    Itungwe sheria ya makosa ya kimdomodomo

    Baada ya sheria ya kimtandao kukamata wazushi mitandaoni sasa itungwe sheria wanaodanganya live yaani kimdomodomo kwa mfano yule jamaa aliyemdanganya rais John Magufuli kuwa watumishi wameenda kunywa chai.kama chai saa saba lunch italiwa lini?
Back
Top Bottom