Tanzania inawezekana ni kimondo kilichovunjika huko motoni kikadondoka duniani !

MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,754
1,642
Hii nchi inawezekana ni kimondo kilichodondoka kutoka motoni baada ya Kuvunjika huko kikatua duniani ! Haiwezekani mwaka ;-
1961 tuliachiwa katiba nzuri na sisi hatukutumia tukaja na katiba ya 1962 ya jamuhuri.
1964 tukaja nagia ya muungano na Zanzibar na kutengeneza hati ya muungano na tunaificha kwanini isitundikwe pale ikulu kama leseni madukani.
1967 mkaja na azimio la arusha serikali inataka ifanye biashara zote yenyewe
1972 operesheni vijiji mkawapa makada wenu umeneja vijiji
1977 mkaanzisha li chama la mafisi ili muwe mnakula bila kunawa
Hii inawezekana sio nchi labda ni kimondo
 
Punguz

Punguza jazba mkuu
 
Kakikundi ka watu wachache kamejimilikisha nchi na kuishi maisha ya furaha huku walio wengi (wanyonge) wakiishi maisha ya kuunga unga huku wakipakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na hao wanasiasa wachumia tumbo.
 
Hii nchi inawezekana ni kimondo kilichodondoka kutoka motoni baada ya Kuvunjika huko kikatua duniani ! Haiwezekani mwaka ;-
1961 tuliachiwa katiba nzuri na sisi hatukutumia tukaja na katiba ya 1962 ya jamuhuri.
1964 tukaja nagia ya muungano na Zanzibar na kutengeneza hati ya muungano na tunaificha kwanini isitundikwe pale ikulu kama leseni madukani.
1967 mkaja na azimio la arusha serikali inataka ifanye biashara zote yenyewe
1972 operesheni vijiji mkawapa makada wenu umeneja vijiji
1977 mkaanzisha li chama la mafisi ili muwe mnakula bila kunawa
Hii inawezekana sio nchi labda ni kimondo
Acha tuendelee tu kusherekea elimu ya bure wakati hata hao wanaotupa elimu ya bure ama wanawalipia ada watoto wao au wanalipiwa na serikali
 
Back
Top Bottom