Kimbisa na Bodi yako, mmetupa spana kwa kazi za serikali au mmetupia mwenye gereji?

MABAKULI

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
1,754
1,642
Serikali hii kila awamu inayoongozwa na CCM toka mwaka 1977 huwa inaongozwa kama gari lipo gereji na Lumumba ndio service center kupitia vyombo vyake vya habari ndio utasikia milio ya spana.

Sasa Bodi imejiuzulu ndio tuseme mnaacha kazi ya kurudishia injini kwa Serikali au kwa mwenye gereji mtueleze tutafute hatma ya hiyo gari.
 
Magufuli anasafisha mafisadi.Huyu Kimbisa kajaa mwenyewe,tuna usongo nae toka alipotoka nje ya CC kupinga mgombea wake kukatwa
 
Kimbisa ilikuwa ni suala la muda tu, na NEC atadondoshwa pia kwenye uchaguzi ujao. Sofia Simba ajiandae kisaikolojia kabisa kwa sababu na yeye ni suala la muda tu. Mabaki yote yatadonyolewa.
 
Back
Top Bottom