Baada ya kuona watu wanamkumbuka Kikwete ni vizuri na hii inawezekana dokta Magufuli alisikitishwa sana na kale kawimbo kenu mlikomwimbia Kikwete kwenye mkutano mkuu mnaimani na deshideshi hata ule mkutano mkuu wenu mliopitisha yeye alisema angekuwa yeye asingebaki mtu pale na sasa yeye ni mwenyekiti inawezekana anawatafuta hata nje ya ukumbi