Search results

  1. Cherrylicious

    Naombeni ushauri juu ya mashine za kutengenezea popcorn na za kusafishia picha

    na mimi nina interest ya machine ya picha...mtaani kama ka studio hivi na pia niwe na backgrounds tofauti tifauti
  2. Cherrylicious

    Naombeni ushauri juu ya mashine za kutengenezea popcorn na za kusafishia picha

    Ngoja na mimi nisubiri hapa...nataka mambo ya kusafisha picha
  3. Cherrylicious

    Nataka kufungua Computer school mtaani kwetu

    software basic kwa ajili ya kufundishia ...word...excel and the likes...kwa kuanzia nataka kama comp 6
  4. Cherrylicious

    Nataka kufungua Computer school mtaani kwetu

    Jambo wadau, Ninataka nifungua ka school/chuo cha computer mtaani kwetu kwani nimeona hakuna mtaani na ina demand kubwa. Msaada wapi nitapata computers kwa bei nzuri?
  5. Cherrylicious

    Anaweza kusoma kozi gani chuo kwa matokeo haya ya form 4?

    Wadau Mtoto amemaliza form four mwaka jana na kupata ufaulu huu.Je ni kozi gani anaweza kufanya kwa sababu hataki kwenda form 5, anataka aanze chuo na ngazi ya astashahada Civics – C History – C Geography – C Kiswahili – C English – B+ Literature – D Biology – B Mathematics – E Asanteni
  6. Cherrylicious

    Certificate in Community Developement

    Asante ngoja ni check hizi nyingine
  7. Cherrylicious

    Certificate in Community Developement

    Tengeru wanaanzia Diploma
  8. Cherrylicious

    Certificate in Community Developement

    Wadau .. msaada tutani ...ni chuo gani kizuri kwa kuanzia certificate ya Community development kwa aliye maliza form 4 mwaka jana. asanteni
  9. Cherrylicious

    Professional chef Course: Zinapatikana wapi?

    Hata mi niko Arusha nina interest ya kujua pia
  10. Cherrylicious

    Ushauri wa biashara

    wadau...nina mpango wa kufungua duka la kuuza nguo na vifaa vya watoto. sehemu ninayo ishi ni sehemu ya makazi ya watu wenye kipato cha kati na chini. pia kuna hostel ya vijana wa chuo hapo karibu. Je kwa ushauri ...ni bidhaa gani nyingine ninaweza kuweka dukani kwa ajili ya hii community...
  11. Cherrylicious

    Nokia C3-00 Nokia store

    Wadau nahitaji msaada wenu...simu yangu ya Nokia C 3-00 inakataa ku download nokia store. nikifungua Nokia ovi inasema kuna new version lakini ninapotaka ku update inakataa inaleta message ya internal error. shida inaweza kuwa nn wadau?
  12. Cherrylicious

    Ujio wa tecno ...android kwa wote

    Kwani ndio inauzwa bei gani hiyo L3
  13. Cherrylicious

    Msaada wapi naweza pata mbegu nzuri ya vifaranga vya kuku

    Kitomari, mimi niko arisha na nina interest na vifaranga unaweza kutupa contacts na physical location nikipita muda nikutafute?
  14. Cherrylicious

    Msaada kuhusu mafao ya NSSF..

    Mi nimejaribu lakini sms ya Kujiunga inakataaa kwenda...nimepata sms ya kwanza kuniambia nijiunge...ila majbu yanakataa kwenda....na simu ina credit...sijui tatizo ni nn
  15. Cherrylicious

    Natafuta Kiwanja Arusha

    Mchecki huyu jamaa...0754437711 anauza maeneo ya Olkeryan
  16. Cherrylicious

    Eneo zuri sana linauzwa arusha

    Eneo gani sasa!!! Arusha kubwa
  17. Cherrylicious

    Airtel wamepandisha bei ya Vifurushi

    Jamani , hii ya 400 mb mbona bado iko...mimi nimeweka asubuhi hii na ndio anitumia , na nimeconnect kwa computer, speed yake inaridhisha pia
Back
Top Bottom