Search results

  1. delta_state

    Natafuta partnership kwenye madini

    Njoo pm nikupe namba ya mama mmoja hivi anafanya biaahara hizo ila chonde chonde usije mtapeli aisee Sent using Jamii Forums mobile app
  2. delta_state

    Elimu inasaidia vipi ukuaji wa uchumi?

    Elimu ina mchango mkubwa sana katika maendeleo ya Taifa lolote Sio tu kwa waliofaulu bali hata kwa wale wanaopita katika system ya elimu..walioishia la saba mtu alieishia la nne ilimradi anajua kusoma na kuandika..waliofeli form 2 ama form 4 ili mradi kapita katika mfumo wa elimu 1.kwa anaejua...
  3. delta_state

    Nimeshindwa kuomba namba ya mdigo nimempa mimi yangu ndo uwezo wangu

    Bora amempa namba na kusepa...hawechelewi kusema hana salio kinachofuata ni wewe umuwekee Sent using Jamii Forums mobile app
  4. delta_state

    Mbowe na Matiko warejeshwa gerezani baada ya Mahakama ya Rufaa kusema itatoa uamuzi wa rufani iliyokatwa na DPP

    Hao watakua wamepiga kelele mahakamn wakt kesi ikiendelea...hata jamaa yangu aliwekwaga ndan kwa muda sababu alipiga kelele wakt tulipokua tunasikiliza kesi mahakaman Sent using Jamii Forums mobile app
  5. delta_state

    Alikiba ft Timaya - Number one

    Sio hana umaarufu,wewe ndio humjui Nenda youtube angalia nyimbo inaitwa bum bum ina views 51 milions na nyingine inaitwa Dance Sent using Jamii Forums mobile app
  6. delta_state

    Alikiba ft Timaya - Number one

    Una mjua timaya vizuri? Yule jamaa ni hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  7. delta_state

    CV ya Balozi Wilson Masilingi

    Yule balozi wa nyumba kumi,amelidhalilisha taifa,na pale amemkuta Lisu ametoka wodini na akili yake bado ina usingizi wa madawa ya operations, Kama ingekua sio hivyo sijui hali ingekuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  8. delta_state

    Unaweza kutengeneza Story nzuri kutokana na hizi picha?

    Wimbo gani huo,mzee Au igizo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. delta_state

    Mwanza: Jeshi la polisi limeua Majambazi wanane usiku wa kuamkia leo 26.1.2019

    Hongereni sana Polisi...ila mkiwa mnaenda huko mni-pm na mimi nikasaidie,nina hasira nao sana hao waliniibiaga gari Sent using Jamii Forums mobile app
  10. delta_state

    Nimeteseka sana lodge

    Picha mzee bila picha sielewagi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. delta_state

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Roga Roga.. MADILU ana nyimbo fulan hivi nzuri sana Niwekee hata moja..nami ntashukuru sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. delta_state

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Thanks sana..uko vzuri Sent using Jamii Forums mobile app
  13. delta_state

    Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Tupia wimbo wa Azalati Sehawa muimbaji simjui... Mbuta mbutu Yondo Sister Na nzuri zote za Pepe Kale Sent using Jamii Forums mobile app
  14. delta_state

    Ni hatari ndugu zanguni,wanaume tumekwisha

    Mbele kabisa hapa... Sent using Jamii Forums mobile app
  15. delta_state

    Wakenya watupa vijembe kwa Diamond. Wasema WASAFI FESTIVAL ilikuwa ya kipuuzi, Wajutia kuharibu pesa yao

    Mleta mada acha chuki..pambana,tabia ya kusemasema watu kila siku ipo siku utakuja kujisema wewe mwenyewe..hustle Sent using Jamii Forums mobile app
  16. delta_state

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung J7 Good as New Bei 360k Inbox [emoji395] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. delta_state

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Samsung J2 In mint condition Bei 180k Sent using Jamii Forums mobile app
  18. delta_state

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ipo Sent using Jamii Forums mobile app
  19. delta_state

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Uko wapi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom