Wakenya watupa vijembe kwa Diamond. Wasema WASAFI FESTIVAL ilikuwa ya kipuuzi, Wajutia kuharibu pesa yao

Diamond anatakiwa afanye rehearsal ya kutosha kabla ya performance. Pia huwezi kuperform live kama huvai in-ear monitor, apunguze kucheza asikilize muziki vizuri ndio aimbe. Huwezi kunata na beat kama unamaliza pumzi kwa kupiga kelele. Ushauri wa bure.
 
Guys ni kweli, hata ndugu zetu Marekani na Canada alikokwenda Diamond ku-perform wanalalamika kuwa jamaa kaishiwa....hana jipya na kuimba hajuwi. Wanashangaa kwanini walilipa kwenda kumuona, wanajutia hela zao.
Nguvu za kifreemasons huwa za mikataba, na ukishaisha mkataba wako nawe huna chako tena.

Tumwombe sana Mungu atusaidie kutafuta pesa kwa haki/uhalali wa jasho letu pekee wala si vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ya kuweka CD ndo msanii aperform live ni kichekesho. Konki aliimba nini? GIGI-Sura nzito je?
We !! konki wanamtumia tuu hapa bongo mchangani, Kenye ataenda kufanya nini lisauti linakwaruza kama bikipiki iliyokatwa eksosi? yule alipata umaarufu wakati jamii ilikuwa haijaamka kifupi sii mwanamuziki na hao fistifo wanamtumia kwa muda baadaye wanamfekelea mbali, sasa lenyewe badala ya kuweka akiba na kuandaa mtaji kuepuka kulala bar, ndio kwanza limekusanya watoto nakuanza kuzunguka nao kwenye ma clabu kutumbua maisha
 
Guys ni kweli, hata ndugu zetu Marekani na Canada alikokwenda Diamond ku-perform wanalalamika kuwa jamaa kaishiwa....hana jipya na kuimba hajuwi. Wanashangaa kwanini walilipa kwenda kumuona, wanajutia hela zao.
Unajua nowadays mziki uko fake sana. Studio ndo zinamaliza utamu wote.. ngoma nyingi mpaka za mbele zimebebwa na studios tu. Tofauti na akina Fugees na huko nyuma kabisa akina ABBA. So ukisema uimbe ngoma yako uloinogesha na Beats za producer mkali ukaiimba na Band eti ni hatari sana. Lazima uwe fundi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa kaisha limebaki jina tu[/QUOTE
Tafuta maneno ya nayo sema Diamond kaisha na yamezungumzwa mara ngapi kisha uje ufungue upupu kama huu. HIVI NYI Team mwafulani huyo jamaa akiisha si ndo furaha yetu, mbona mwateseka Sanaa. Tafuteni kazi za kufanya watoto wa magomeni/kkoo au mkauze maduka ya mama zenu mashombi shombi huko know huku mkisubiri pesa za kutumiwa na ndugu zenu muscat hukooo
 
Back
Top Bottom