Search results

  1. T

    TANZANIA TUSIJIINGIZE KWENYE EPA.

    TANZANIA TUSIJIINGIZE KWENYE EPA, NI HATARI KWA USTAWI WETU: Wakuu wa nchi za Afrika mashariki leo wanakutana nchini Tanzania , na miongoni mwa agenda kuu zitakuwa ni kuingia kwa Sudan Kusini kama mwana chama mpya na Kujadili kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi za Afrika Mashariki na...
  2. T

    Dr Emanuel Nchimbi Ng'atuka !!

    DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI ACHIA NGAZI Siku zote mtu anayesema ukweli huchukiwa na watu wengi hata pengine kutafutiwa namna ya kuuawa, mfano, nabii Yeremia katika kitabu chake sura ya kwanza kwenye utangulizi anathibitisha haya kwakuwambia wayahudi kwamba; Wafalme,makuhani na manabii wa uongo...
  3. T

    Ufisadi wa Mh Heche, Ester Matiko na Nyaswi Tarime

    UFISADI WA WABUNGE HECHE, MATIKO NA MWENYEKITI NYANSWI TARIME. Public procurement act ya mwaka 2004 na marekebisho yake ya mwaka 2011 imetaja vizuri sana nafasi ya madiwani wa halmashauri katika mchakato wa Zabuni za halmashauri... Sheria imetamka.., Kuweka mfumo katika Kanuni za Sheria ya...
  4. T

    BAVICHA karibuni Dodoma

    BAVICHA KARIBUNI DODOMA: Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kufanya mkutano mkuu wake wa kikatiba mapema mwishoni mwa mwezi huu. Napenda kuchukua fursa hii kuwakumbusha wenzangu wa BAVICHA maneno yafuatayo."Ukiwa unapita kwenye mbuga kubwa yenye Nyoka na ukagongwa na Nyoka, haupaswi kushangaa...
  5. T

    Uhuru wa kutafuta habari ni jukumu la Wananchi na si Wabunge

    Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inatambua vyema sema uhuru na haki wa kila Mtanzania kutafuta na kupata habari. Ibara ya 18. Ibara ndogo ya (1), Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na...
  6. T

    Wanahabari tusitumike, nchi kwanza

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) hawataki utaratibu,wamekataa kwenda na wakati,wamezoea kula bila kunawa. TEF wametoa taarifa yao jana iliyoandikwa na kutajwa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini hapa. Kwa maelezo ya taarifa hiyo iliyosainiwa na Mwenyekiti Theophil Makunga pamoja na...
  7. T

    UVCCM Jitokezeni kumjibu Zitto

    "UVCCM MMEFITINISHWA NA SERIKALI YENU!" Zitto Zuberi Kabwe, kiongozi mkuu katika chama chake cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini ameifitinisha UVCCM na Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi-CCM. Mh. Zitto ameandika taarifa yake juu ya mzozo wake na Waziri wa Mambo ya ndani...
  8. T

    Hoja dhaifu ridhi ya gharama ya Rais nchini Rwanda

    HOJA DHAIFU RIDHI YA GHARAMA YA SAFARI YA RAIS NCHINI RWANDA. Unashangaa Rais Kutumia Ndege Kutoka Rwanda??? Hivi karibuni vyombo vya habari vya kimataifa, ikiwemo BBC viliripoti kisa kimoja cha kuchekesha kuhusu Rais wa Marekani Mh Barack Obama, Iliripotiwa kuwa " Obama aliamua kutimua...
  9. T

    Kwa hili Marekani, Ulaya na mabeberu wengine tuacheni Afrika na Tanzania

    1. Sikuwahi kusoma sehemu kuwa kulikuwa na kuhamishwa kwa binadamu kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa minajiri ya kuwatumia kama mashine isipokuwa waafrica. 2. Sikuwahi kusoma sehemu binadamu kuuzwa na kuundiwa sheria ya utaweza kuwa huru kama ukilipa fidia ya uhuru wako isipokuwa kwa watu...
  10. T

    Je, unajua kuhusu bomba la gesi Tanzania na Uganda?

    UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA BANDARI YA TANGA-TANZANIA HADI ZIWA ALBERT UGANDA. Ni kweli umbali wa kutoka bandari za Kenya hadi Uganda ni karibu zaidi kuliko bandari za Tanzania. Lakini nini kinawasukuma waganda kuamua ujenzi wa bomba hili ufanyike bandari ya Tanga-Tanzania hadi ziwa...
  11. T

    Mambo muhimu kuhusu uchaguzi wa Zanzibar

    MAMBO MUHIMU KUHUSU UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR 1. Ulishirikisha wagombea wote 14 walioshiriki uchaguzi wa #Oktoba25 ambao ulifutwa baada ya kugubikwa na dosari kama vile mgombea urais wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad kupoka mamlaka ya tume ya Taifa ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kwa...
  12. T

    Lowassa ni nani CHADEMA?

    LOWASSA KUWAFUKUZA WATAKAOKWENDA KINYUME NA MAAGIZO YAKE Lowassa amesema kuwa watakao kwenda kinyume na maagizo yake wataondolewa kwenye nafasi zao, Naomba tuulizane wananchi maswali machache na tujadiliane, 1. Lowassa ni nani huko CHADEMA maana najua kuwa yeye ni mwanachama mchanga kabisa na...
  13. T

    UKAWA kuzikwa rasmi Oktoba 25

    zikiwa zimebaki siku nne kabla ya watanzania kumpigia kura ya kumchagua john pombe magufuli kuwa rais wa tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania. Vyama vinavyound umoja wa katiba ya wananchi almaarufu ukawa wameanza kutapa tapa na kumwona kila aliyepo mbele yao ni mbaya,mwizi wa kura na...
  14. T

    October 29 kwa ajili ya magufuli

    tarehe 29 oct ni siku ambayo tume ya taifa itatangaza matokeo ya urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania. siku hiyo itakuwa maalumu kwa jamhuri yetu ya muungano kwa sababu kuu mbili mosi tutakuwa tumempata rais mpya wa awamu ya tano ambaye atatusaidia kama taifa kusukuma mbele gurudumu la...
  15. T

    Lowassa asivyofaa kugombea urais

    Lazima tujifunze kutoka kwa nchi majirani na marafiki.Ikumbukwe Africa kusini walipo lazimisha kumpitisha Thabo Mbeki kwa mahaba upofu leo hii wanajuta kwa kuuana wenyewe kwa wenyewe na kuwaua waafrika wenzao kisa walimweka mtu ambaye hakuwa safi na hakustahili kuwa hata mwenyekiti wa ANC...
  16. T

    Ufafanuzi:ilani ya ccm 2015/2020 (sehemu ya pili)

    ILANI HII NI MKATABA KATI YA WANANCHI NA CHAMA CHA MAPINDUZI CHINI YA USIMAMIZI WA MH JOHN POMBE MAGUFULI,RAIS WA AWAMU YA TANO TANZANIA. SURA YA KWANZA HALI YA UCHUMI -MWAKA 2010-2015 NA MALENGO YA MWAKA 2015-2020 KATIKA KIPINDI CHA ILANI YA UCHAGUZI YA MWAKA 2010-2015 SERIKALI IMETEKELEZA KWA...
  17. T

    Lowassa na Gwajima acheni kugawa watanzania

    Tumeshuhudia kauli mbali mbali za viongozi hawa wa kidini na kisiasa kuligawa taifa kwa kauli mbalimbali tete za udini na ubaguzi ambayo dhahili inaonyesha kuwa ni wabaguzi na hawalitakii taifa letu mema.. Lowassa ametoa kauli ya kibaguzi kanisani kwa kutaka achaguliwe kwa kuwa ni zamu ya...
  18. T

    Chama cha mapinduzi kimeimalisha nchi yetu na imeendelea kukua na kuimarika pato la taifa

    Chama cha mapinduzi kimeimalisha nchi yetu na imeendelea kukua na kuimarika pato la taifa siku hadi siku,uchumi wetu umeendelea kukua na kuimarika siku hadi siku. Uchumi mzuri unao kuwa kwa kasi ya 8% ni ishara nzuri kwa maendeleo ya taifa letu.ongezeko la pato kwa kila mwananchi limeongezeka...
  19. T

    Dalili njema za CCM kushinda

    japo mimi ni shabiki nambari one wa simba siwezi kuomba mabaya kwa yanga ,mfano leo yanga anakufa simba tutacheza na nani ushindi huu wa yanga leo hii japo nimeumizwa ila naona ni dalili njema za ushindi kwa ccm,kwa sababu ccm ina rangi ya kijani na njano japokuwa si mahusiano ya kisiasa kati ya...
  20. T

    Huyu ndiye Rais wangu mimi na wewe

    Ninachotaka kusisitiza hapa ni kwamba, wale wanaoomba nafasi ya urais hawapaswi kutuhumiwa kwa jambo lolote. Hawapaswi kutiliwa mashaka kuhusu uadilifu wao. Wanapaswa kuaminiwa kuhusu dhamira yao ya kupiga vita ufisadi na rushwa. Na wagombea hawa tunaweza kuwajua kutokana na hulka au tabia za...
Back
Top Bottom