Search results

  1. T

    Mchungaji Anthony Lusekelo awapa onyo CHADEMA

    Safi sana, huyu ndie mfano wa kiongozi wa dini anayestahili
  2. T

    Zitto: Tumepigwa cha juu katika ununuzi wa ndege mpya

    Huyu Zitto kabwe ni mchumia tumbo asiye itakia mema serikali, anapiga porojo na alishachukua hela za mashirika ya ndege ambayo yataingia kwenye ushin:ani na ATCL hivyo yupo kazini kwa ajili ya hela alizolipwa kwa porojo hizi. Lazima atueleze kama ndege ni mtumba zilitengenezwa lini na kwann...
  3. T

    TANZANIA TUSIJIINGIZE KWENYE EPA.

    TANZANIA TUSIJIINGIZE KWENYE EPA, NI HATARI KWA USTAWI WETU: Wakuu wa nchi za Afrika mashariki leo wanakutana nchini Tanzania , na miongoni mwa agenda kuu zitakuwa ni kuingia kwa Sudan Kusini kama mwana chama mpya na Kujadili kuhusu ushirikiano wa kiuchumi kati ya nchi za Afrika Mashariki na...
  4. T

    Dr Emanuel Nchimbi Ng'atuka !!

    DR.EMMANUEL JOHN NCHIMBI ACHIA NGAZI Siku zote mtu anayesema ukweli huchukiwa na watu wengi hata pengine kutafutiwa namna ya kuuawa, mfano, nabii Yeremia katika kitabu chake sura ya kwanza kwenye utangulizi anathibitisha haya kwakuwambia wayahudi kwamba; Wafalme,makuhani na manabii wa uongo...
  5. T

    Ufisadi wa Mh Heche, Ester Matiko na Nyaswi Tarime

    UFISADI WA WABUNGE HECHE, MATIKO NA MWENYEKITI NYANSWI TARIME. Public procurement act ya mwaka 2004 na marekebisho yake ya mwaka 2011 imetaja vizuri sana nafasi ya madiwani wa halmashauri katika mchakato wa Zabuni za halmashauri... Sheria imetamka.., Kuweka mfumo katika Kanuni za Sheria ya...
  6. T

    CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

    *TUANZE KWANZA NA UKUCHA KABLA YA UKUTA Chama cha demokrasia na maendeleo chadema wametangaza operation yao mpya ya kukifufua chama na operation hiyo wameiita UKUTA. Kabla ya UKUTA(Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania) Tuanze kwanza na UKUCHA(Umoja wa Kupambana na Udikteta Chadema) Ukiona...
  7. T

    BAVICHA karibuni Dodoma

    BAVICHA KARIBUNI DODOMA: Chama Cha Mapinduzi kinatarajia kufanya mkutano mkuu wake wa kikatiba mapema mwishoni mwa mwezi huu. Napenda kuchukua fursa hii kuwakumbusha wenzangu wa BAVICHA maneno yafuatayo."Ukiwa unapita kwenye mbuga kubwa yenye Nyoka na ukagongwa na Nyoka, haupaswi kushangaa...
  8. T

    Uhuru wa kutafuta habari ni jukumu la Wananchi na si Wabunge

    Katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inatambua vyema sema uhuru na haki wa kila Mtanzania kutafuta na kupata habari. Ibara ya 18. Ibara ndogo ya (1), Bila ya kuathiri sheria za nchi, kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa nje mawazo yake, na kutafuta, kupokea na...
  9. T

    Hotuba ya Kiongozi wa ACT Wazalendo Z. Kabwe, kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya chama Jijini Dar

    sidhani kama unachoongea ni kweli. siku ya ufunguzi tbc walikuwa live na hakuna walipokata kisa mayor wa jiji anaongea. Tusilete siasa uchwara kwa mstakabari wa taifa, usikubari kutumika kwa manufaa ya wachache wenue nia ovu. Tumuunge Rais mkono tusonge mbele
  10. T

    Wanahabari tusitumike, nchi kwanza

    Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) hawataki utaratibu,wamekataa kwenda na wakati,wamezoea kula bila kunawa. TEF wametoa taarifa yao jana iliyoandikwa na kutajwa katika vyombo mbalimbali vya habari nchini hapa. Kwa maelezo ya taarifa hiyo iliyosainiwa na Mwenyekiti Theophil Makunga pamoja na...
  11. T

    UVCCM Jitokezeni kumjibu Zitto

    "UVCCM MMEFITINISHWA NA SERIKALI YENU!" Zitto Zuberi Kabwe, kiongozi mkuu katika chama chake cha ACT-Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini ameifitinisha UVCCM na Serikali inayoongozwa na Chama Cha Mapinduzi-CCM. Mh. Zitto ameandika taarifa yake juu ya mzozo wake na Waziri wa Mambo ya ndani...
  12. T

    Hoja dhaifu ridhi ya gharama ya Rais nchini Rwanda

    HOJA DHAIFU RIDHI YA GHARAMA YA SAFARI YA RAIS NCHINI RWANDA. Unashangaa Rais Kutumia Ndege Kutoka Rwanda??? Hivi karibuni vyombo vya habari vya kimataifa, ikiwemo BBC viliripoti kisa kimoja cha kuchekesha kuhusu Rais wa Marekani Mh Barack Obama, Iliripotiwa kuwa " Obama aliamua kutimua...
  13. T

    Bunge kuanzisha studio yake ya Matangazo

    Just to remind you this. Adolf Hitler once said this 'If I can control the media, then I can control the State'. Ni wakati sasa serekali kufuatilia kwa makini hawa propagandists wanatumia media to tarnish the image or the positive actions taken by the current leadership to reshape the economic...
  14. T

    Kwa hili Marekani, Ulaya na mabeberu wengine tuacheni Afrika na Tanzania

    1. Sikuwahi kusoma sehemu kuwa kulikuwa na kuhamishwa kwa binadamu kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa minajiri ya kuwatumia kama mashine isipokuwa waafrica. 2. Sikuwahi kusoma sehemu binadamu kuuzwa na kuundiwa sheria ya utaweza kuwa huru kama ukilipa fidia ya uhuru wako isipokuwa kwa watu...
  15. T

    Je, unajua kuhusu bomba la gesi Tanzania na Uganda?

    UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA BANDARI YA TANGA-TANZANIA HADI ZIWA ALBERT UGANDA. Ni kweli umbali wa kutoka bandari za Kenya hadi Uganda ni karibu zaidi kuliko bandari za Tanzania. Lakini nini kinawasukuma waganda kuamua ujenzi wa bomba hili ufanyike bandari ya Tanga-Tanzania hadi ziwa...
  16. T

    Mambo muhimu kuhusu uchaguzi wa Zanzibar

    MAMBO MUHIMU KUHUSU UCHAGUZI WA MARUDIO ZANZIBAR 1. Ulishirikisha wagombea wote 14 walioshiriki uchaguzi wa #Oktoba25 ambao ulifutwa baada ya kugubikwa na dosari kama vile mgombea urais wa CUF Maalim Seif Shariff Hamad kupoka mamlaka ya tume ya Taifa ya uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) kwa...
  17. T

    Hali ya sintofahamu Bungeni: Polisi waingilia kati, Wabunge wa Upinzani watolewa nje

    MH RAIS JPM, Aliposema wanafuta safari za nje kuokoa hela – wakashangilia Aliposema wanafuta sherehe za Ubunge kuokoa hela – wakashangilia Aliposema wanafuta sherehe za Uhuru kuokoa hela – wakashangilia Aliposema wanafuta kadi za Krismasi kuokoa hela – wakashangilia Aliposema ataunda Baraza dogo...
  18. T

    Membe acha kupotosha umma

    nadhani kwa hili mzee wetu membe kapotoka na inatakiwa ajisahihishe kwa kweli.hii ni awamu nyingine na si ya kimazoea inapasa tuungane na kumsaidia mh Rais katika jitihada zake
  19. T

    Lowassa ni nani CHADEMA?

    LOWASSA KUWAFUKUZA WATAKAOKWENDA KINYUME NA MAAGIZO YAKE Lowassa amesema kuwa watakao kwenda kinyume na maagizo yake wataondolewa kwenye nafasi zao, Naomba tuulizane wananchi maswali machache na tujadiliane, 1. Lowassa ni nani huko CHADEMA maana najua kuwa yeye ni mwanachama mchanga kabisa na...
  20. T

    Dogo Jembe kaingia Mtegoni. Bomoabomoa Ndio Mwisho wake

    Hatuwezi kuanza kufikilia urais wa mwaka 2025 wakati tuna kazi nyingi za kuwafanyia watanzania. Kama mtu amepewa wizara aitendee haki na si kutafuta umaarufu kwa kutokufuata sheria kisa ana mpango wa kuutafuta urais 2025. Uraishautafutwi kwa kuanza kutafuta sifa, na kama mnategemea urais 2025...
Back
Top Bottom