Search results

  1. philltaya

    Morogoro: Kundi la tembo lavamia makazi na mashamba na kufanya uharibifu tena

    Makundi ya Tembo yamevamia katika baadhi ya vijiji vya kata ya Lubungo wilayani Mvomero kijiji cha vianzi kitongoji cha Menge mkoani Morogoro na kuharibu mazao kwa mara nyingine tena. Mmoja wa waathiriwa na Tembo hao Bwn Jeremiah Tayari na Bwan Mwombeki wamesena hii ni mara ya pili sasa kutokea...
  2. philltaya

    Sakata la mwanamke aliyefanyiwa ukatili na wafugaji

    Mkuu wa wilaya ya Mvomero nashukuru kwa kulifuatilia swala hilo la ukatili alilofanyiwa mama Fatuma Hasani Diawi, lakini katika swala hilo polisi wanataka kujenga kitu mpaka sasa, baada ya kulifikisha hilo swala mahakamani, wanamtaarifu mlalamikaji kuwa taarifa zote atapata kutoka kwa mtendaji...
  3. philltaya

    Serikali inapata kigugumizi gani juu ya migogoro ya wakulima na wafugaji?

    Najiuliza hivi serikali inajua kinachotokea Morogoro kupigwa kwa wakulima wawili na wafugaji kwa vijiji viwili tofauti mmoja Doma na mwingine Menge/vianzi wilaya ya mvomero?wafugaji nguvu ya kufanya hivyo wanaitoa wapi? Kuna mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa tafadhari tupieni sana jicho wilaya ya...
  4. philltaya

    Serikali inakigugumizi gani juu ya migogoro ya wakulima na wafugaji, Morogoro

    Najiuliza hivi serikali inajua kinachotokea Morogoro kupigwa kwa wakulima wawili na wafugaji kwa vijiji viwili tofauti mmoja Doma na mwingine Menge/Vianzi wilaya ya Mvomero? Wafugaji nguvu ya kufanya hivyo wanaitoa wapi? Kuna mkuu wa wilaya na mkuu wa mkoa tafadhari tupieni sana jicho wilaya...
  5. philltaya

    Kero yangu

    Mh.Raisi JPM bado hujaifikia kero yangu,hakuna utendaji pasipo maagizo yako ya moja kwa moja kero yangu ni wafugaji kuingiza mifugo kwenye mashamba ya wakulima mkoani morogoro wilaya ya mvomero kijiji cha menge kata ya mzumbe kitongoji cha vianzi.barua ya malalamiko imepelekwa kwa mkuu wa wilaya...
  6. philltaya

    Natafuta mbegu za mihogo

    Ndg zangu wanajopo mimi ni mkulima natafuta njia ya kuwasiliana na wale wachina wanaotoa mbegu ya mihogo yeyote anayejua njia ya kuwasiliana nao tafadhali anijuze haraka
  7. philltaya

    Wafugaji wilaya ya Mvomero wako juu ya sheria!!?

    Mh. Mkuu wa Wilaya mnatuhamasisha kulima ili kuepuka njaa na kujipatia kipato lakini hakuna haki kwa mkulima ila kinachoonekana mfugaji ndiyo mwenye haki. Au sheria inamsimamia mfugaji pekee? Wanapata wapi ujasili wa kuingiza mifugo kwenye shamba la mkulima, hiko kiburi anatoa wapi? Kama...
  8. philltaya

    Masai waishika serikali ya Tanzania!!!?

    Pamoja na matamko ya viongozi wakuu wa nchi lakini awa viongozi wa mikoa na wilaya sikujui kama wanafuatilia maagizo ipasavyo!!?kwanini masai bado wanakiburi juu ya kukatazwa kuingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima kuchumgia lakini bado wanachungia,na mkulima akimtaka atoe mifugo yake...
Back
Top Bottom