Search results

  1. R

    TBC 1 Matuko Yaliyotokea Arusha Mlichotuonyesha Kwenye TV Niuongo Mtupu!

    tunawajua Tbc toka enzi za kampeni sio wakweli ina maana hawajui jukumu la vyombo vya habari ktika jamii au ndo uccm umewakaa cjui!!
  2. R

    Mkuu wa Mkoa ashtakiwa kwa Rais Kikwete

    kikwete kawa mahakama nini?
  3. R

    Sipati picha vurugu za arusha

    NI alama ya mabadiliko tz........lets wait time will tell
  4. R

    Ya Polisi na vyama vya siasa Tanzania

    daaah sijui nani atalipa dmu za wananchi wasio na hatia
  5. R

    Hukumu ya chenge vipi?

    mmh makubwa!!!!
  6. R

    Hivi ag werema na kombani wametumwa au kuna sababu nyingine?

    Nilishitushwa sana na kauli ya waziri wa sheria na katiba celina kombani aliyoitoa wiki chache zilizopita kuhusu msimamo wake juu ya madai ya katiba mpya sababu kubwa ikiwa,eti katiba iliyopo inakidhi mahitaji ya wananchi pia mchakato wa kuibadilisha unagharimu fedha nyingi na nchi haina fedha...
  7. R

    Msaada kwenye tutaa....

    kazi kweli kweli!!!
  8. R

    Ukweli kuhusu WANAWAKE

    Tatizo wanapenda sifa thats why waishia kuchezewa!!!!!!
  9. R

    Alaa! Kumbe wamiliki wa DOWANS ndo hawa!?

    1) Rostam Aziz. 2)Eduard Ngoyaye Lowasa. 3)Nimrod Mkono. \ mmmh kumbe ni hao nilijua tu hawatakosekana katika list
  10. R

    Slaa ni living nyerere!!!

    Ndo viongozi wanotakiwa Tanzania!!!
  11. R

    Katiba mpya ni lazima na siyo ombi

    anaebisha afe!!! na wa kwanza atakua huyu mama Go........Kombani
  12. R

    Chadema itoe Tamko kuhusu Tanesco, EWURA; Wizara ya Nishati/Madini na dira ya Taifa!

    Kuna watu hawapendi maendeleo ya nchi hii!!!!!! hivi kama Tanesco imeshindwa kwa nini yasiruhusiwe makampuni ya watu binafsi ili kuendesha usambazaji wa umeme nchini. Hii yote ni sababu ya serikali ya kifisadi. Tanzania!!! we 'r crying coz of our own decision may God help us.
  13. R

    UDOM yagoma kushinikiza wenzao kuachiwa

    Jamani serikali wasikilizeni basi hao wanafunzi kwasababu mgomo wao una mantiki!!!
  14. R

    Kwa nini thamani ya shilingi ya Tanzania inaendelea kushuka?

    Nchi yoyote yenye mendeleo ya uchumi siku zote huwa inakua na uwiano mzuri baina ya sekta ya viwanda na Kilimo!!!! Lakini hii ni tofauti sana kwa nchi yetu ya Tanzania, kwani Kilimo imekua ni sekta isiyo na uhusiano wowote na ukuaji wa viwanda kwani mazao huzalishwa bila kuwa na sehemu ya...
  15. R

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Eeeh tuepushe CHADEMA na mpasuko wa kisiasa ndani ya chama!!!!! if real Big up brother Zitto
  16. R

    Je Mkapa, Bomani na Prof. Shivji mawakala wa Dr. Slaa?

    sio mawakala wa Dr. slaa ila Kwa mtu yoyote anaeipenda TANZANIA ni lazima afurahie mabadiliko ya katiba kwa ajili yaq maendeleo ya tanzania na watanzania kwa ujumla kama nchi ya kidemokrasia
  17. R

    UONGOZI UDSM, RAIS DARUSO Wanataka kuleta Mgomo.

    Ah kuna mambo mengine ni madogo saana na wameyakuza. Hivi mkiwa TAHLISO hamuwezi kudai haki zenu? Katiba inasema nini juu ya mamlaka ya Rais? Kubandika maandishi ya kumchafua inasaidia? sijakuelewa unaunga mkono ujinga eeh!!!!
  18. R

    UONGOZI UDSM, RAIS DARUSO Wanataka kuleta Mgomo.

    Waliozuia mikutano ya bunge hawaitakii UDSM amani!!! We all have ability, The difference is how we use it!!!!!!!!:hungry:
  19. R

    Kampeni za kutokomeza ukimwi zimeongeza idadi ya maambukizi

    Leo tarehe 1 disemba 2010 ni siku maalumu iliyowekwa umoja mataifa kwa ajili ya maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani ikiwa na malengo ya kuielimisha jamii juu ya janga hili zito la kimataifa kwa kuwafariji waathirika wote. Lakini kubwa ikiwa ni kutafuta suluhisho ili kutokomeza athari za...
  20. R

    UJUMBE WA MBUNGE: Shukrani, Twende Kazi!

    Thanx Mnyika hopely your the true dream of Tanzanian One luv Nothing like patriotism!!!!
Back
Top Bottom