Search results

  1. kenstar

    Ticket za ndege zinapatikana Dar Mwanza

    Kwa bei ya offer laki moja kwa tarehe 16 na tarehe 18
  2. kenstar

    Toyota Dyna tani 3 inauzwa

    Engine mpya,ukitaka ya bomba au box unapata bei maelewano.
  3. kenstar

    Msaada wa code category za TRA Kwa kila items

    Salam naomba kujua kama kuna PDF, au book yenye kuonyesha category ya kila bidhaa ushuru wake hasa bidhaa za Kilimo na usafiri mfano powetila,zana za Kilimo, engine giabox,cabin,na spare za magari mbali mbali wanatumia hesabu IPI nikitaka kuagiza ili niwezejua nijipange vip kuhusu kodi kabla...
  4. kenstar

    Kisa cha limbwata na madhara yake

    USHUHUDA WA THEOFLIDA WA YESU : NILIMLISHA MUME WA MTU, LIMBWATA LA NYAMA YA BUNDI. Nawasalimu wa jina la YESU, jina kuu kupita majina yote. Jina langu ninaitwa Theoflida , ni mwanamke mwenye umri wa miaka 38 mkaazi wa Mbezi ya Kimara jijini Dar Es Salaam...
  5. kenstar

    Naomba kujua bei ya Viazi mviringo Lushoto

    Naomba kujua bei Kwa gunia na ni maeneo yapi vipo Kwa wingi
  6. kenstar

    Jinsi ya kudhibiti na kuwatambua wezi.

    Tumekuwa tukipata madhara makubwa sana kurudishwa nyuma kimaendeleo,kuuwawa,kupewa ulemavu,nk kutokana na watu wasiopenda kufanya kazi ,ambao wao utuvizia pindi tuwapo na vitu au Mali za thamani,nimeona kutoa baadhi ya viashiria na ishara ambazo uenda zikasaidia kutuepusha au na majanga hasa...
  7. kenstar

    Kuhusu bima

    Hivi comphensive insurance ni asilimia ngapi
  8. kenstar

    Naomba kujua kuhusu mfumo wa kulipia kodi za kuagiza magari

    Napata shida kujua nani wanapanga ushuru wa magari yanayoagizwa toka nje huwa wanatumia vigezo vipo. Mfano unaweza ukanunua kwa bei mliopatana ukifika nchini wanaikataa bei ulionunulia wanakukadiria kwa bei elekezi kulingana na mifumo ya bei zao. Kitu kingine napenda kujua kwann magari...
Back
Top Bottom