Kwanini ushuru wa commercial vehicle magari na mitambo inayokuja kuinua uchumi ni kubwa sana

ingekua import duty zinalipika hata Watanzania wangeweza kuleta mitambo mingi tuu au hizo gari za biashara zinaongeza ajira na kupunguza adha ya usafiri bila kutegemea wageni ambao mapato mengi wanayopata yanarudi kwao tena badala ya kujenga Nchi..Serikali amkeni kuhusu hilo punguzeni import duty kwenye mitambo na hayo magari ya biashara..
 
Au ndo ule mfumo wa kiafrica kuwa ukitaka kutawala nchi lazima uwafanye wananchi wako kuwa masikini, MTU akiwa masikini hawezi kujitegemea atakuwa mtumwa tu
 
Back
Top Bottom