kenstar
JF-Expert Member
- Aug 24, 2015
- 2,276
- 1,443
Salam naomba kujua kama kuna PDF, au book yenye kuonyesha category ya kila bidhaa ushuru wake hasa bidhaa za Kilimo na usafiri mfano powetila,zana za Kilimo, engine giabox,cabin,na spare za magari mbali mbali wanatumia hesabu IPI nikitaka kuagiza ili niwezejua nijipange vip kuhusu kodi kabla sijaagiza bidhaa.