Search results

  1. K

    msaada wa used jogging/stamina machine for fitness

    naulizia ntakapoweza pata vifaa used lakini quality vya mazoezi jamani,mana vipya uwezo sina.yeyote anaejuwa bei ina range sh ngapi msaada jamani.
  2. K

    Inasemekana asilimia 80% ya wanawake walio olewa hawatoshelezwi kimapenzi kwenye ndoa zao

    :eyebrows:nahisi mtoa mada hajaoa.ama bado teenager.upuuzi mtupu. mtu na heshima yake awe mume/mke hawezi kutoa siri yake ya ndani kusema anatoshelezwa ama atoshelezwi ndo mana wazee wa zamani walikuwa na unyago kwa wote.he/she bila kubagua.:hat:
  3. K

    VodaCom Kimenuka..wafanyakazi mamia kupigwa chini muda wowote

    poleni staff wa voda kwa presha hyo,nasikia na TICTS kushanuka,watu km 40tyr wamepigwa chini,barua walizopewa za kujihusisha na mgomo wakiwa ndo vinara w a uchochezi.NCHI HII WAWEKEZAJI NDO WANATHAMINIWA WANAFANYA WANAVYOTAKA.EE MUNGU FANIKISHA SLAA KUKAA MADARAKANI
  4. K

    Maji ya kuoga...!

    cku hizi utakuta mke na mume wana ,majukumu sawa,wote wahangaikaji na wanahudumia familia sawa,lakini bwana anataka awekewe naji,atayarishiwe nguo,bado kufuliwa chupi,na watoto wanakutizama,unyumba hujampa bado.looo na kiuno kisipokatwa shaur ya uchovu nako mwasema analala km gogo.jamani...
  5. K

    Clouds fm inaliangamiza taifa

    mm nashindwa kuelewa,kila cku clouds clouds clouds,km huipendi si usisikilize,tune wapo.radio 1,praise power etc.mnaipenda ndo mana mnawasikiliza,na wenyewe wanajuwa hivyo,asilimia 60 ya watu wanaoenda maofisini asbh ama jioni kurudi iwe kwenye daladala ama magari binafsi wanatune clouds,huo ndo...
  6. K

    $ 1 = Tshs 1800 (02/11/2011)

    hyo rate ni sawa kbs..ndo clearing tunavyochajiwa bandarini specialy ticts,mana ticts collector wao ni citybank.na hawa citybank ni commercial bank ambayo iko chini ya BOT,ambapo rate ya BOT ni ndogo ukilinganisha na hz commercial bank,sijajuwa hapa uwepo wa BOT katika kucontrol hz commercial...
  7. K

    Muda gani sahihi kushiriki tendo baada ya upasuaji?

    mimi naomba nikueleze ukweli kabisa,mana mm ni muhusika,nilifanyiwa operation km mkeo,normally kidonda cha operation siku 7 tu unaona dalili ya kuanza kufunga,hiyo ilitokea kwangu na hata hat watu wangu walionizunguka,siku namtoa wanangu nje,usiku nikampa mwenzangu,ingawa naye alijuwa kwa hiyo...
  8. K

    Darasa huru

    kweli kabisa,fikra zako km zangu,nikishafikiria sasa nat......bwa bs aaaa basi lazima nifike,na nikiona nakalibia na hali bado nahitaji msubiri mwenzangu,nachomoa natafuta style nyingine,kumbe pale inasaidia km kuanza moja,hahahahahha i lv jf
  9. K

    Naskia raaaaaaaaahaaa!

    Wife ataenjoy,husb yeye anafanyia hasira,lazima afunge magoli mengi kulipisha,hahahaha imagine the game
  10. K

    Lady jaydee ni mjamzito

    ndo mana watu wanapataga laana vivi hv,ww bi wa kusema kukojoa huku amechuchumaa?hujui na huko ndo ulikotokea pia?bila huko hapa jf ungefikaje?
  11. K

    Nimwage siri?

    Umetuchosha.mtama wataka kumwaga kwenye kuku wengi hapa.ulongo bwana huna siri weye
  12. K

    Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

    Kwanza nakupa pole mdada.nna rafiki yangu anatatizo km lako.kila mvulana aliekuwa anamuapproach.alikuwa anachek mfuko wake.anasema kwao maskni nae hatak mtu maskn.umri umeenda sasa.rafiki zake sote tumeolewa na tuna watoto.yeye yupo analilia ndoa sasa.cha kujifunza bora uolewe na umpendae.pesa...
  13. K

    JK-Mchumi dhaifu anayeamini Uchumi wa Nchi kuendeshwa kwa Malori bila Reli

    Mkuu umenena.mimi ni mdau wa bandari.kabisaaaa.na ni muhusika.kinachonishangaza mimi,kuna proposal ilitolewa kipindi kile cha congestion bandarini.na kukawa na mzozo sana,kuwa.hz bandari kavu yani ICD'S km hyo hapo tabata AMI.ama Trh n.k.ziingie ubia na bandar.yaan TPA ama TICTS.hawa...
  14. K

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    mm ni muathirika wa huo ugonjwa pia, kama wadau walivyoshauri hapo juu,ugonjwa huu asilimia kubwa pia unaambukizwa na mazingira ya choo tutumiavyo,mwanamke sehemu zake za siri ziko tofauti na mwanaume,hivyo kufanya vijidudu kupenya kwa urahisi na kusababisha UTI, kingine ni usafi tu wa mwili kwa...
  15. K

    Tatizo la kupata choo kigumu au kukosa choo kwa muda mrefu (Constipation). Fahamu chanzo na tiba yake

    dawa ni moja tu hata ule vyakula vyote bila diet wala matunda.JUICE YA UKWAJU, asbh kabla hujala kitu chochote,mimi huwa nnatengeneza wk end,naweka kwenye friji napiga asbh km 2 hivi,nikirudi hm jioni naweza piga nyingine wakati wa kula,ama asbh tu nikinywa 2 zatosha,mchana lazima niharibu...
  16. K

    Tunaibiwaaaaaa! Jamani wateja wa Vodacom someni hapa!

    hafadhali wizi wa voda kuliko tigo wanadai ukope salio,halafu lile salio utaweza piga na kutuma sms bila shida.mbona haiwi displayed pindi ukiuliza balance kama salio zingine? ukimaliza piga simu ama kutuma msg basi kuna msg inakuja inasoma salio lako limebaki kiasi gani!!!!!! SI WIZI HUU,??? na...
  17. K

    Ubaguaji wa CCM (serikali)2015- wafanyakazi sekta binafsi-kura kwa CHADEMA

    hivi wafanyakazi wa sekta binafsi sio watanzania? hawapigi kura au? mana wenyewe walipie kodi allowance zao.wafanyakazi wa serikali no!!!!! how come!!!! nauli za likizo zakatwa kodi bonus pia zakatwa kodi wakati huohuo wenyewe wabunge allowance zao zote hazikatwi kodi,na sasa bajeti imekuja...
  18. K

    Natafuta housegel

    jamani hata hiyo 30,000 ni nyingi,mm nna mtoto mmoja wa mwaka,lakini kumpunguzia kazi nimeamua kutafuta wa2,mmoja afanye shughuli za nyumbani mwingine mtoto.kufua kwenyewe watoto wanavaa pamper kazi zinapungua mtu hufui sananikimpa yeye hata hiyo 60,000 peke yake na adeki,afue,amuangalie...
  19. K

    Majina ya Kisukuma

    ngw'andu BADO SAA NANE (ie BADO its surname/) ngw'ana bolabo :typing: ngw'ana nshimbe sondagolwa malulu
  20. K

    Clouds FM kuweni makini

    ni kweli jamani warudishe africa bambataa ndo mana hata matangazo ya biashara yamepungua hasa jahazi na amplifier duuuuuuuuuu kusaga fanya uchunguzi wa hilo,wanaotoka makazini wanataka kuburudika sio kusikiliza bored vipindi bwana :bored: :bored: :bored: :bored: na ukizingatia uko...
Back
Top Bottom