Ubaguaji wa CCM (serikali)2015- wafanyakazi sekta binafsi-kura kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubaguaji wa CCM (serikali)2015- wafanyakazi sekta binafsi-kura kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kiswago, Jun 16, 2011.

 1. k

  kiswago Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi wafanyakazi wa sekta binafsi sio watanzania? hawapigi kura au? mana wenyewe walipie kodi allowance zao.wafanyakazi wa serikali no!!!!! how come!!!!
  nauli za likizo zakatwa kodi
  bonus pia zakatwa kodi
  wakati huohuo wenyewe wabunge allowance zao zote hazikatwi kodi,na sasa bajeti imekuja inasema wafanyakazi wa serikali tu ndio wamesamehewa kodi kwenye posho zao mbalimbali,jamani hii imekaaje???????
  hongera zitto kabwe kwa kuliona hilo,hivi ninapoandika hapa wengi wa wafanyakazi wameliona na sasa wamebadilika,wanasema watapapambana 2015.tunahamasishana 2015 especially sekta zote binafsi,KURA KWA CHADEMA.
  Mkereketwa
   
 2. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  kaka nyie si mliambiwa muwe na akili kama za mbayuwayu mkakubali sasa unalalamika nini? watanzania waoga lakini wanaumia kimyakimya huku tukilalamika kwa unafiki na sasa cha moto mtakiona kama hamtaki kudai haki zenu
   
 3. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Te te te te! wafanyakazi wa serikali juu.
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Jamani wafanyakazi wa serikali mishahara yao ni ya kusikitisha.
  Graduate anapata laki tatu.
  Mnapoongelea hili jambo mkumbuke hilo.
   
 5. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #5
  Jun 16, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Uchaguzi wa 2010 ni salamu kwa serikali , ndio maana sasa hivi wanaa nza kusikia vilio vya watumishi wa serikali la sivyo 2015 kwaheri CCM
   
Loading...