Asante sana Mkuu... Nimejifunza jambo hapa maana ilikua inanipa ukakasi.. kumbe kuna jamii ina refer zaidi ubatizo wa Yesu kule mtoni na wanasahau kuwa mitume walipo pewa uweza waliendelea kubatiza hata nje ya hiyo mito
Thanks Brother [emoji120]
Ngoja nikushauri jambo, mwanaume akiamua kukuoa maana yake anakuheshimisha na anakupenda na ndio maana kakutambulisha mbele ya Mungu (kanisani/msikitini) Tena Kwa KIAPO rudia sentence Kwa KIAPO... Tena mbele ya kadmnasi Tena mbele ya mitandao ya kijamii.... Means shoga zako na marafiki zako...
Inaonekana huyu mtoto, usafi ni changamoto kidogo...
Rudi Kwa mtaalamu, ila jitahidi kuepukaa na ishu za mtoto kukaa na nguo za mkojo muda mrefu pia... Tujitahidi watoto wawe wakavu sehemu zao za pubic ikiwezekana
Ndugu, hizi tabia za kusema umesikia sijui umefanyaje ndio hizo nyingine ziligharimu maisha na afya za wengine....
Ona kipi Bora uende kufanya vipimo plus good management uipate au uendelee na guessing za dawa humu
Hizo hoja za udini waliokosa Tamisemi pia wangezileta ingekuaje....
Kikubwa amini wakati wako upo na utafanikiwa... Huenda Mungu anapima akili na mienendo yako, hiyo ni bahati yao... Kuwa mtu wa kukubali kuwa umeshindwa kupata nafasi au waliokaribu yako wamekosa, uridhishe moyo huenda ukapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.