Search results

  1. D

    Jiko la gesi kuwaka moto

    Habari wadau, Leo asubuhi nimepatwa na mshangao baada ya kuona jiko langu la gesi likiwaka moto na kupelekea kioo cha juu kuvunjika vipande vipande, ikumbukwe kuwa hili jiko lina kama miezi miwili tu toka nimelinunua dukani. Nimejaribu kuwaita mafundi nao wameshindwa kuelewa tatizo ni nini...
  2. D

    Haya ni madini gani?

    Wiki kama tatu zimepita nimewahi kuuliza kuhusiana na picha za mawe nilizoziweka hapa wengi walishauri niendelee kuhimiza vijana wachimbe zaidi ili kupata madini mengine, hivyo nami nilifanya kama nilivyopewa maelekezo, Leo nimekuja tena mniambie haya mawe ni madini gani na bei yake iko vipi...
  3. D

    Haya ni aina gani ya madini?.

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mtu mmoja kaniletea sasa mimi sijui ni mawe gani haya, naomba kama kuna watu wazoefu wa mawe waniambie haya ni madini gani? na pia soko lake liko vipi kwa hapa Tanzania. karibuni wadau.
  4. D

    Diversity Visa (DV Lottery) 2019

    Ndugu wadau Fursa imefunguliwa tena kwa mwaka huu, kwa wale wote wanaotamani kucheza mchezo wa green card lottery wakati ndio huu. Droo imefunguliwa kuanzia Leo tarehe 03/10/2017 mpaka tarehe 07/11/2017 hakikisha unaweka detail zako zikiwa sahihi bila udanganyifu wa aina yeyote, kwa maelezo...
  5. D

    Kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja.

    Habari ndugu wadau?, niende kwenye mada: Nimekuwa nikisikia sehemu tofauti tofauti kuhusiana na swala la kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja kuwa linaweza kusababisha kifo kwa mlaji, jambo ambalo linanishangaza ukizingatia na ukiangalia kwa mtazamo wa juu juu kuwa hivi vyote ni vyakula sasa...
  6. D

    Msaada tafadhali: Nimechaguliwa katika US Green Card

    Habari ya jumapili Ndugu zangu, niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka Jana mwezi wa kumi na moja nilicheza US green card lottery na mwezi huu wa tano nimefanikiwa kupita katika mchujo wa kwanza unaofanywa na Kentucky Consular Center (KCC) niliingiza confirmation number katika website ya...
Back
Top Bottom