Haya ni madini gani?

Haya ni madini gani?

DIBAJI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
391
Reaction score
513
Wiki kama tatu zimepita nimewahi kuuliza kuhusiana na picha za mawe nilizoziweka hapa wengi walishauri niendelee kuhimiza vijana wachimbe zaidi ili kupata madini mengine, hivyo nami nilifanya kama nilivyopewa maelekezo, Leo nimekuja tena mniambie haya mawe ni madini gani na bei yake iko vipi sokoni?, karibuni.
IMG-20171127-WA0034.jpg
IMG-20171127-WA0033.jpg
IMG-20171127-WA0032.jpg
IMG-20171127-WA0031.jpg
IMG-20171127-WA0030.jpg
IMG-20171127-WA0029.jpg
IMG-20171127-WA0028.jpg
IMG-20171127-WA0027.jpg
IMG-20171127-WA0026.jpg
IMG-20171127-WA0025.jpg
IMG-20171127-WA0024.jpg
IMG-20171127-WA0023.jpg
IMG-20171127-WA0022.jpg
IMG-20171127-WA0021.jpg
 
Poa nawasubiri wanipe majibu hapa hapa.
 
Naona hapo kama kuna Ruby,Green tomaring,mengine ata siyaelewi
 
Hapo naona kuna amethyst,kuna green tourmaline,hizo zingine hazionekani vizuri nmeshindwa tambua

Ova
 
Wiki kama tatu zimepita nimewahi kuuliza kuhusiana na picha za mawe nilizoziweka hapa wengi walishauri niendelee kuhimiza vijana wachimbe zaidi ili kupata madini mengine, hivyo nami nilifanya kama nilivyopewa maelekezo, Leo nimekuja tena mniambie haya mawe ni madini gani na bei yake iko vipi sokoni?, karibuni.View attachment 639245View attachment 639246View attachment 639247View attachment 639248View attachment 639249View attachment 639250View attachment 639251View attachment 639252View attachment 639253View attachment 639254View attachment 639255View attachment 639256View attachment 639257View attachment 639258
Nmeona Topaz ambayo ni nyeupe na njano na Blue sapphire. Kama uko mikoa ya Kusini njoo PM nikuunge na wadau au wanunuz!!!!
Toa majibu mkuu, nipe majina yake pamoja na soko lake kwa ujumla kama una uzoefu nayo.
 
Kama Una iolite nitafute Nna order nzuri

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom