Kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja.

DIBAJI

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
388
505
Habari ndugu wadau?,
niende kwenye mada:

Nimekuwa nikisikia sehemu tofauti tofauti kuhusiana na swala la kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja kuwa linaweza kusababisha kifo kwa mlaji, jambo ambalo linanishangaza ukizingatia na ukiangalia kwa mtazamo wa juu juu kuwa hivi vyote ni vyakula sasa iweje ukila kwa pamoja visababishe kifo?,

Wadau naomba mnifungue macho ni kwanini kifo hutokea kwa mlaji?
Karibuni wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Heshima kwako Mkuu.

Hilo swala halina UKWELI hata chembe. Hakuna Ukweli wowote. Hizo ni kelele za mitandaoni tu zisizo na uhalisia wowote.

Ndizi ambayo ina madini mengi ya Potassium na Carbohydrates, haiwezi kutengeneza sumu mwilini ikitumiwa pamoja na mayai yenye vitamini aina nyingi ( A, B, D na E).

Nikukumbushe tu kuwa, kama ingelikuwa kweli inatengeneza sumu ya kuua basi vingeshatokea vivo Vinci vya watu. Kuna keki Maalum ambapo hutengenezwa kwa mchanganyo wa ndizi, mayai na makorokocho mengine. Ingeshamaliza watu.

Kula kwa raha mustarehe.
 
Kula kwa raga mustarehe.
Nashukuru sana kiongozi kwa ufafanuzi mzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu wadau?, niende kwenye mada: nimekuwa nikisikia sehemu tofauti tofauti kuhusiana na swala la kula mayai na ndizi kwa wakati mmoja kuwa linaweza kusababisha kifo kwa mlaji, jambo ambalo linanishangaza ukizingatia na ukiangalia kwa mtazamo wa juu juu kuwa hivi vyote ni vyakula sasa iweje ukila kwa pamoja usababishe kifo?, wadau naomba mnifungue macho ni kwanini kifo hutokea kwa mlaji? Karibuni wadau.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cc: Dr. Sajjad Fazel

Uhuru atosha
 
Back
Top Bottom