Wasalaam,
Hizi barabara mpya na za kisasa za kuingia kwenye miji yetu mikubwa ni kwa ajili ya kupendezesha miji?
Fikiria barabara kubwa ya kuingia mji mkubwa wa kibiashara Tanzania? Njia nne kwenda njia nne kurudi. Anzia Kimara mwisho hadi inapoishia ni vibao vya hamsini mwanzo mwisho. Kila...
Tulifumania fursa kwenye mpunga mkuu. Tulipata eneo la umwagiliaji na bahati ikawa nzuri sehemu ya shamba tukapata kazi ya kulima mbegu za kampuni fulani.
Miaka ya mwanzoni ya muhula wa pili wa JK. Hapo ufuta umegeuka kuwa almasi ya kusini, bei imesimama maradufu. Tukajiunga na rafiki, tukapata shamba na kukubaliana kulima ekari 50.
Maandalizi ya shamba yakafanyika, tukampata msimamizi na wasaidizi wake wote wazoefu. Shughuli ikaanza, lima, piga...
Imepita zaidi ya miaka saba sasa mkuu. Kiafya niko mzima kabisa. Kwa hali niliyokutana nayo siku ile siwezi kupinga, ukimwi utakua mwingi sana kwa ule muingiliano.
Mkuu sina kumbukumbu nzuri ya ule usiku pale room ingawaje asubuhi hatukua na nguo. Na kumbuka pia boss wao aliwaambia watupe experience ambayo hatutasahau.
Nimekumbuka mbali sana kuhusu Dar Poli.
Mwaka fulani kwenye harakati za kutafuta maisha hapo Mbinga tulienda safari ya kikazi kijiji cha jirani na Dar Poli. Baada ya kumaliza kilichotupeleka mwenzangu akasema twende tukapige bata porini leo. Kwa kuwa siku yenyewe ilikua Ijumaa na mfuko ulikua...
Great, harakati za kimaisha hutupeleka kila sehemu.
Nimewai kuishi Moshi mjini kama mwajiriwa kwenye moja ya miradi miaka ya 2012. Kwa harakati za maisha, itabidi upigane sana. Mji una uzawa sana huu. Binafsi niliwahi fanya biashara ya kukodisha viti na tents. Ilikua inaenda poa japo kwa...
Kwa Kiswahili fasaha, hili kweli ni tawi jipya.
Kiuhalisia tawi hili ni mbadala wa tawi lao lililofungwa la ITV / Mwenge. Na hii ilitangazwa na bank walipokua katika maandalizi ya kulifunga tawi hili. Pamebaki ATM tu pale barabarani.
Haya, 1 toa 1 = ?
Real G,
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinga na mzinga kwenye uvunaji kutegemea na aina / design hata kama yote itawekwa kwenye eneo moja lenye mazingira sawa.
Kujibu swali lako vizuri, frequency ya uvunaji kwa mzinga kama eneo lina vegetation kwa wingi linaweza kuwa zaidi ya mara sita kwa...
Mkuu,
Kiukweli kuna aina nyingi sana za miti na maua / mimea yenye maua yapendayo na nyuki. Upandaji pia unategemea sana mipango yako ya muda mfupi na muda mrefu katika mradi wako wa ufugaji nyuki, pia eneo ulipo.
Naomba nitaje michache na rahisi kupanda;
Miti: Miembe, Milonge, mizambarau...
Mimi kwa kuongezea, ningeshauri ufikirie yafuatayo pia kadri biashara itakavyokuwa:
1. Kupata mashine / teknolojia nyepesi ya kukausha pumba. Uzalishaji ukiwa mkubwa ni dhahiri ukaushaji pumba huenda ukakusumbua kutokana na ufinyu wa nafasi ya kuanika au vipindi vya mvua. Hivyo, kuwa na njia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.