Search results

  1. B

    NBAA new syllabus

    kilichopo ni kwamba kamaumemaliza Degree unapaswa ufanye masomo sita kwa intermediate stage na masomo manne kwenye final stage..utofauti na ile ya zamani ya sasa ''Pass one save one''
  2. B

    mkwawa bado haifai kuitwa chuo

    Mtu ametoa mapendekezo yake kuhusu mazingira ya chuo cha mkwawa mnaanza kumshambulia..ni ukweli usiopingika kwamba mazingira ni kimojawapo kinachochangia ufaulu mzuri...huwezi kuniambia mtu akienda lecture agombanie kama tuition mchikichini bana..hostel pia muhimu ila mademu achana nao.. Sent...
  3. B

    Wapi Nitapata Mkopo wa TZS 10M Haraka?

    Kwa uelewa wangu hakuna bank au Microfinance yeyote ambayo inakusumbua endapo umetimiza documents zote za muhimu na ndo kazi yao kukopesha...Kuna jamaa yangu yeye ana uwezo wa kukopesha mpaka millioni kumi(ila riba yake ni 30% kwa mwezi) na mnaandikishiana na kama gari sharti iwe na thamani ya...
  4. B

    Board ya mikopo kukata 8% za mishahara ya wadaiwa

    Mi naona ni sawa tu kwani unamaliza deni kwa haraka na kuendelea na mipango mengine ya maisha.
  5. B

    Mbunge Joseph Mbilinyi (SUGU) ataka TRA wamtoze kodi RICK ROSS show ya leo...

    Mbona hamjiulizi hao wasanii wetu wa bongo pesa wanazolipwa kwenye fiesta,ni kiasi gani kinakatwa kodi? mSIJE MKAWA MNASHABIKIA rICK ROSS AKATWE NYIE WENYEWE MNALIPA....Hapo wa kuwalalamikia ni serikali yenu legelege inayoshindwa kukusanya kodi....
  6. B

    JF EXCLUSIVE: Sababu ya Kuachishwa kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO

    Katika hili, mimi binafsi sidhani kama swala la mgawo linaweza likawa sababu wa Mhando na wenzake kusimamishwa kazi, Iweje kama ingekuwa tatizo ni mgawo wa umeme kama ilivyozungumzwa kwenye barua,kusiwepo na Mkurugenzi yeyote anayehusika na maswala ya...
  7. B

    Bankers wanahitajika..

    Eti mwenye shida na ajira,tangazo la kazi linatakiwa liwe public na fair kwa watu wote,mtu hawezi kuwa interested kama hajaelewa anaomba wapi na lazima ajue mazingira ya kazi anayoombea we kama vp weka tangazo linalojitosheleza acha mbwembwe.Ukishasema UBA ndo iweje? weka job responsibility tujue.
  8. B

    Unakumbuka nini katika enzi za gazeti la Sani?

    Iyo picha ilikuwepo kwenye ''Utamu wa Ngoma'' ila blog yenyewe imeshafungiwa na Google..
  9. B

    Nafasi za kazi bot (Bank Of Tanzania) 19.10.2011

    Ukweli ndo huo kama hutaki basi....ila ninavyokwambia hizo nafasi ni zilitangazwa upya(Re-advertise) mwanzoni zilikuwa zilitangazwa sita(4 positions) wakafanya apptitude test na oral interview wakachujwa mpaka wakafika sita(6) matokeo yake wakapatikana wawili ndo ambao waliajiriwa,kwakuwa lengo...
  10. B

    Nafasi za kazi bot (Bank Of Tanzania) 19.10.2011

    Mbona hizo nafasi za Financial Analyst wameshaitwa na wamefanya jumatatu 17 October,2011 ,iyo deadlyne utakuwa umeoverlook tu..tena walikuwa kumi na saba tu ndo wakafanya apptitude test...
  11. B

    Sheria inasemaje kuhusu kesi ya madai katika suala hili linalonikabili?

    Ukishashitakiwa kwa kuwa tayari unao mkataba wa kimaandishi na ambao umepitishwa na Mwanasheria hapo huna ujanja lazima utiwe hatiani na masharti utayopewa na mahakama utatakiwa udiclare pato lako ili uweze kulipa kwa awamu mpaka umalize deni la watu...
  12. B

    Hali ya Uusalama wa taifa letu ni ya hatari

    Chanzo cha matatizo yote wa kuilaumu ni serikali ambayo madarakani kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake kwa kuwa letea wananchi maisha bora,maisha bora hayaji midomoni huja kwa vitendo..
  13. B

    Vita ya Mafuta!

    Simpatii picha Ngeleja ana wakati mgumu hasa huu wa Mgawo wa umeme akiwa anatafuta jibu zuri la kuwaridhisha wawakilishi wetu bungeni sasa limeibuka jipya la Mafuta.....kazi kweli kweli nchi yetu imeoza.
  14. B

    Janja mpya itakayotumiwa na wauza mafuta

    Nani wa kulaumiwa ni serikali au wahindi/waarabu,mi naona hapo jibu ni wote kwani kila mtu anamatatizo yake.......serikali inategemea mapato zaidi kwenye mafuta kupitia agency zake walizozianzisha kutoza tozo kwenye mafuta kuna kipindi nilisikia kwenye vyombo vya habari Mchambuzi mmoja anasema...
  15. B

    Janja mpya itakayotumiwa na wauza mafuta

    Nani wa kulaumiwa ni serikali au wahindi/waarabu,mi naona hapo jibu ni wote kwani kila mtu anamatatizo yake.......serikali inategemea mapato zaidi kwenye mafuta kupitia agency zake walizozianzisha kutoza tozo kwenye mafuta kuna kipindi nilisikia kwenye vyombo vya habari Mchambuzi mmoja anasema...
  16. B

    Wanawake wanapenda kudanganywa au kuambiwa ukweli?

    Kwa kweli mtu yeyote lazima atajisikia vibaya kwa hilo.......kwa mfano siku moja nilihudhuria sherehe moja wakaingia mtu na mkewe,kama kawaida watu wakiingia kwenye ukumbi kama kuna watu mnawafahamu basi mnaenda kuwapa hi!!! Sasa hapo ndo kimbembe kilipoanza yule bwana akamsalimia dada mmoja...
  17. B

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Mbona mnanishangaza!! mmekariri kwamba umri wa kumaliza chuo ni miaka ya 20 na ushee....mbona tulikuwa tunasoma na watu wakubwa ambao tunaweza kuwaita baba au mama maana wapo wakubwa zaidi yake...
  18. B

    Tofauti ya umri katika mahusiano na kwa wanandoa (mume na mke)

    Kinachotakiwa hapo ni makubaliano tu,ongea nae mbona mimi nilisoma na walikuwa wakitangaza ndoa wakati bado tupo chuoni na waliolewa wengi tu....mtengenezee mazingira kumwambia kuwa kuolewa kwake hutamuathiri katika masomo yake...
  19. B

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Mtoto akililia wembe wacha umkate....
  20. B

    simu ya mkononi

    Swala hili ni makubaliano,baina ya watu wawili kwani hutakiwi kulazimisha kuchunguza simu ya mwenzio.. kama ukimuona hataki uichunguze cmu yake basi ujue si lazima awe na wapenzi nje,inawezekana anatafuta pesa kwa njia ambayo hapendi kila mtu hatakiwi kufahamu hasa kwa ninyi wanawake ni bora...
Back
Top Bottom