Search results

  1. P

    Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Ninamzungumzia Mzee Kaunda yeye ni Mnyasa
  2. P

    Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Hakuna uadui hapo ila ni kama jamii zimetenganishwa hivyo kila jamii inatakiwa iwe eneo lake mfano mzuri zambia,malawi na Zimbabwe pia zilikuwa taifa moja matokeo yake raia wa malawi aliwahi kuwa rais Zambia sio kwa nía mbaya
  3. P

    Rwanda na Burundi ziliikosea nini Tanzania?

    Kabla ya mwaka 1919 Tanganyika,Rwanda na Burundi zilikuwa taifa moja labda hicho kinafanya hizi nchi tatu kuwa na uhusiano wa karibu sana kuliko mataifa mengine ya jirani kwahiyo wana jaribu kuona kama kunamasalia
  4. P

    Wadau na wenyeji mnaoishi Kahama

    Nene goko nazimelwa nuokokaya kemba kinamapula
  5. P

    Hivi ni kwanini nguzo za zege hazitumiki kama nguzo za umeme?

    Mimi naona tatizo sio kutumia nguzo za miti tatizo wale wanaotengeneza nguzo za zege kuficha bei ninahakika hata mleta mada hujui unategemea kupata wapi Mteja, tubadilike weka wazi bei wateja tupo wengi sana
  6. P

    Aina za wasukuma na kisukuma

    Kiasi amejitahidi, ukweli ni Kwamba hakuna kabila la kisukuma ila sukuma ni upande wa kazikazini kwahiyo wenyeji walitambuana kutokana na upande unakoishi hivyo basi pande nne za dunia ndiyo ulileta kabila la wasukuma, tukianza na SUKUMA ni KASIKAZINI yaani SENGEREMA, MWANZA, DAKAMA ni KUSINI...
  7. P

    Sehemu ya Jengo la Studio za Clouds Media Group yaungua moto

    YgkYgmttrrtttd strgttettee ttdegetdttxg rdddt4dr44dr4 dy
  8. P

    Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    Pole sana kaka, naomba mtengane atakuuwa,
  9. P

    Ushauri wenu jamani, mume wangu hajafanyiwa tohara

    Mwemwemwe, Mungu hakukosea kuweka mkono wa sweta, Leo watu wanahangaika na kondomu ukiwa na mkono wa sweta unavuta kidogo unafunga rubber band yako, twende kazini. Tayari umeweza uzazi wa mpango, Huna haja ya salama wala dume
  10. P

    Nahitaji shirika kwa ajili ya kazi ya kujitolea

    Weka namba yako tukutafute Sent using Jamii Forums mobile app
  11. P

    inverter/online ups inauzwa

    Tuwasiliane 0713345822 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. P

    Uvuvi kwa kutumia boti

    Hiyo fiberglass boat ni bei gani ya mita 8 na 9 Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
  13. P

    Kampuni ya Reli Tanzania(TRL) yavikana vichwa vya Treni, yataka virudishwe vilipotoka

    Vichwa vinavyoonyeshwa hapa vililetwa mitatu iliyopita na vinafanya kazi, Kama huna picha basi wote tumesikia sio lazima tuone ili tuamini
  14. P

    Familia moja yaibuka na kudai aliyebuni na kuchora nembo ya Taifa sio mzee Maige bali Mzee Kabati

    Katika hili sakata la Nembo mimi kwa mtazamo wangu Mzee Ngosha ni mmoja wa wachoraji wa Nembo hiyo ya taifa
  15. P

    RUSSIA na IRAN wasema Watajibu kama US wakivuka Mstari mwekundu kwa Mara nyingine

    Katika ww2 mrusi alizidiwa sana na mjerumani mwamerika ilibidi amusaidie soma OPERATION TITANIC
Back
Top Bottom