Search results

  1. Egnecious

    Watumishi wa umma nchini tunakushukuru Rais Samia, tudai tija kazini na kura 2025

    WATUMISHI WA UMMA NCHINI TUNAKUSHUKURU RAIS SAMIA, TUDAI TIJA KAZINI NA KURA 2025 Sisi watumishi wa umma nchini tunasema haya kwa sababu umetufanyia makubwa, umetuonesha upendo, umeonesha kutujali na kuguswa na changamoto zetu. Tangu umeingia Rais wetu mpendwa Samia Suluhu Hassan umetufanyia...
  2. Egnecious

    Viongozi wangu wa Kanisa Katoliki shida nini?

    VIONGOZI WANGU WA KANISA KATOLIKI, SHIDA NINI? Ukimsikiliza Katibu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) Padre Dk. Charles Kitima na ukaunganisha na kauli za Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Ruwaichi unaona moja kwa moja viongozi hawa wanavyojielekeza kuupinga msimamo wa...
  3. Egnecious

    Lissu ukifika Ubelgiji waulize kaburi la Lumumba liko wapi?

    Walatini wana msemo wao mmoja nami nataka niuweke kwenye kiswahili kisicho rasmi, .Mahakama ya haki hufuatwa na wenye mikono safi. Hili halihitaji ufafanuzi, linajieleza na linaeleweka. Ila tu kwa watu wapenda mifano iko hivi, ukienda kumshtaki mtu kwa kesi ya kuiba kuku huku nyuma Mahakama...
  4. Egnecious

    CHADEMA na ACT Wazalendo acheni utoto

    CHADEMA NA ACT WAZALENDO ACHENI UTOTO Kuna kamchezo kakipuuzi sana wanasiasa wa upinzani Tanzania wanakafanya kila uchaguzi mkuu unapokaribia. Jamaa hawajali madhara wanayotusababishia sisi wanachama wa vyama vya upinzani tunaoamini ipo siku tutaitoa CCM madarakani na kufanya mageuzi ya...
  5. Egnecious

    Hivi CHADEMA tupo "siriazi" kweli?

    *HIVI CHADEMA TUPO SIRIAZI KWELI?* 07 Juni, 2020 Minong’ono ya muda mrefu hatimaye leo imekuwa kweli kwamba Tundu Antipas Lissu aliyejificha ughaibuni baada ya kushambuliwa vibaya kwa risasi Makao Makuu Dodoma anaandaliwa mpango wa kugombea kiti cha urais kupitia CHADEMA. Kwamba, mkakati...
  6. Egnecious

    Haroun Ndalilitu: Zitto Kabwe sikio la kufa

    Nimemsikiliza Wakili Msomi Jebra Kambole ambaye amewawakilisha Mawakili wasomi wenzake waliomtetea Zitto Zuberi Kabwe katika kesi ya Uchochezi iliyotolewa hukumu leo Mei 29, 2020. Kambole anasema watakata rufaa kupinga adhabu iliyotolewa na Mahakama ya Kisutu ya kumuachia huru Zitto Kabwe kwa...
  7. Egnecious

    CHADEMA na ACT Maendeleo

    *CHADEMA na ACT Maendeleo.* Mimi ni mpenzi wa siasa na niliyefurahishwa sana na siasa za Tanzania, kuanzia chama kimoja yaani kabla ya mwaka 1992 na baada ya kuanza kwa vyama vingi ambavyo uchaguzi wake wa kwanza ulifanyika mwaka 1995. Naomba nikiri kuwa nilipendezwa sana na siasa za upinzani...
  8. Egnecious

    Baba Askofu Niwemugizi unatukwaza sana wakatoliki wa Rulenge Ngara

    *BABA ASKOFU NIWEMUGIZI UNATUKWAZA SANA WAKATOLIKI WA RULENGE-NGARA.* Ni wiki ya pili leo naonja machungu ya kutokwenda kanisani kusali ibada ya Jumapili. Ni kutokana na agizo la Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara aliyeamua kusitisha ibada za Jumapili Makanisani...
  9. Egnecious

    The Disturbing Silence Of Dar US Embassy Over New COVID-19 Case

    *The Disturbing Silence Of Dar US Embassy Over New COVID-19 Case* By Advocate John Kimbisa, Dar Early today we learnt that a U.S citizen is among those confirmed with positive test for corona virus in Tanzania. This comes few days after his arrival from an unnamed destination. It ought to be...
  10. Egnecious

    Ubalozi wa Marekani, mbona kwenye hili la raia wenu kuingia Tanzania akiwa na Corona mmekaa kimya?

    *UBALOZI WA MAREKANI, MBONA KWENYE HILI LA RAIA WENU KUINGIA TANZANIA AKIWA NA CORONA MMEKAA KIMYA?.* Jana raia mmoja wa Marekani mwenye umri wa miaka 61 ambaye ni mfanyakazi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini Tanzania amekua mtu wa pili kuingia nchini Tanzania akiwa na virusi vya ugonjwa wa...
  11. Egnecious

    Dawa za Kulevya: Tanzania yang'ara na kuwa ya mfano kwa namna ambavyo imeweza kujiimarisha katika Mapambano dhidi ya Matumizi ya dawa za kulevya

    Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Madawa ya Kulevya akiwasilisha hotuba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) kuhusu utekelezaji wa mikataba mbalimbali...
  12. Egnecious

    Wazee wa Mtama washindwa kuzuia hisia zao kwa Rais Magufuli

    WAZEE WA MTAMA WASHINDWA KUZUIA HISIA ZAO KWA RAIS MAGUFULI 22 Februari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Bashiru Ally akiendelea na ziara yake Mkoani Mtwara kuelekea jimbo la Ndanda kupitia jimbo la Mtama, wazee wameshindwa kuzuia hisia zao kwa Rais Magufuli kwa kuonesha nia...
  13. Egnecious

    CHADEMA hoi Ifakara

    CHADEMA HOI IFAKARA 13 Februari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, leo ameanza Ziara ya siku tatu Mkoani Morogoro ambapo katika mkutano wa ndani, madiwani watatu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ifakara wamejivua uwanachama wa CHADEMA na kujiunga na...
  14. Egnecious

    Dkt Bashiru akabidhi msaada kwa mzee mstaafu Shabani Kanijo

    DKT. BASHIRU AKABIDHI MSAADA KWA MZEE MSTAAFU 05 Februari, 2020 Katika kuadhimisha sikukuu ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally amekabidhi vifaa mbalimbali ikiwemo mashine ya Kuchapa yenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano kwa mzee Shabani Kanijo...
  15. Egnecious

    Dkt. Bashiru: Mwemyekiti na Katibu Mkuu hawana Wagombea

    DKT. BASHIRU: MWENYEKITI NA KATIBU MKUU HAWANA WAGOMBEA 18 Januari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally ameweka bayana kuwa wanachama wote wanaotarajia kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika uchaguzi Mkuu wana haki sawa, na hakuna mwanachama wa Mwenyekiti wala...
  16. Egnecious

    Dkt Bashiru awataka wapinzani kujiandaa kukubali kushindwa

    17 Januari, 2020. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amevitaka vyama vya upinzani nchini kujiandaa mapema kukubali kushindwa kama ambavyo CCM ilikubali kushindwa katika baadhi ya majimbo mwaka 2015. Ameeleza kuwa CCM ikishindwa huwa inakubali kushindwa kama ambavyo...
  17. Egnecious

    Mitambo ya Dkt. Bashiru yazoa upinzani jiji la Tanga

    Siku ya tatu ya ziara ya Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Tanga, imezoea upinzani ambapo madiwani Nane wa CUF wamekihama Chama hiko na kujivua nafasi zao zote na kujiunga na CCM. Uamauzi huo wameufanya katika mkutano wa ndani wa Katibu Mkuu wa CCM alipokuwa...
  18. Egnecious

    Dkt Bashiru: Uchaguzi sio namba uchaguzi ni uamuzi wa umma

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amewakumbusha baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa nchini maana halisi ya uchaguzi ni maamuzi ya Umma si kama ambavyo wamekuwa wakieleza kwa kupotosha kuwa, uchaguzi ni namba. Ameyasema hayo tarehe 13 Januari, 2020 alipokuwa akihutubia...
  19. Egnecious

    Dkt. Bashiru awaomba viongozi wa dini kuwaandaa wananchi kupokea mabadiliko

    DKT. BASHIRU AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUWAANDAA WANANCHI KUPOKEA MABADILIKO 03 Januari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally, leo ameungana na waumini wengine wa dini ya Kiislamu kushiriki Ibada ya Ijumaa katika msikiti wa Mkoa uliyopo Manispaa ya Bukoba, ambapo...
  20. Egnecious

    CCM yaahidi kuendelea kuheshimu maamuzi ya umma

    02 Januari, 2020 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bahiru Ally amesema kuwa, CCM mwaka 2020 itaongoza siasa safi za uchaguzi, ni mwaka wa kudhihirisha CCM inaongoza siasa safi na kuheshimu maamuzi ya Umma kama ilivyofanya mwaka 2019. Dkt. Bashiru ameeleza kuwa, CCM itakuwa mfano...
Back
Top Bottom