Search results

  1. Abuu Said

    Hii ni moja ya kazi nzuri ya Hayati Magufuli

    Bado alisaidia na anahitaji kongole
  2. Abuu Said

    Mafunzo ya uendeshaji wa mitambo -heavy equipment machine (dozer, grader, folk lift, crane)

    Mwl. Mkude baba flani hivi la kutisha umesoma Mechanical sio mwaka gani tufahamiane
  3. Abuu Said

    Usiyoyajua kuhusu uchawi na uganga

    Mimi ndio maana siwaamini Waganga wa kienyeji maana nao ni Wachawi
  4. Abuu Said

    SoC02 Kilimo cha Pilipili Kichaa (Dhahabu nyekundu) kinavyonipa pesa bila kutarajia

    Asante kwa kunifumbua sikujuaga km hizi pilipili kichaa zina thamani kiasi hiki
  5. Abuu Said

    Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Pole sana unazidi kujitia Shimoni badala ya kutatua tatizo la mumeo kuchepuka wewe unaongeza tatizo kwa kuchepuka kisa kumkomoa mumeo
  6. Abuu Said

    Tatizo la January ni mtu laini laini na legelege mno na mtu anayeingilika kirahisi

    Mama ampe Aweso azichanganye wizara hizi 2 kwa pamoja maana ndio mhimili mkubwa kwa wananchi wa hadhi zote
  7. Abuu Said

    TFF yaachana na Kim Poulsen

    Afadhali mimi binafsi sikuwahi kumkubali huyu kocha
  8. Abuu Said

    Mjadala kwa wanaokataa Kuoa (Ndoa)

    Kugongewa ni siri ya ndani
  9. Abuu Said

    Korogwe: Gari ya marehemu imetelekezwa barabarani

    Mara nyingi najua inapotokea ajali Polisi hufika eneo la tukio ilikuaje hapo kwahiyo polisi hawana taarifa yoyote kuhusu hiyo ajali?
  10. Abuu Said

    Wanaume ukatili umezidi, unapigaje mwanamke mjamzito

    Mwanamke akiwa mja mzito kaa nae mbali unaweza kuja kuua wanakuaga na jeuri na ukiburi uliopitiliza Mimba hua zina wachanganya sana
  11. Abuu Said

    Ukweni moto unawaka baba mkwe kaniita, naombeni ushauri

    Komaa hapohapo kwenye M1 inatosha na kwa kuwa ushamtia mimba tulia wewe sema sina uwezo wa hiyo M7
  12. Abuu Said

    Kabul: Watu 21 wafariki kwa mlipuko ndani ya Msikiti

    IS ni mamluki wa kislaam wanaoongozwa na nchi za Magharibi kuuchafua uislaam
  13. Abuu Said

    Nilivyoumbuka kwenye swimming pool

    Ilinikuta hii waterin wild kule kunduchi nikaona hiki kibwawa kidogo si naweza ku dive nikaruka juu na kutua ndani ya swimming laa haula maji yale yaliniyumbishaa mbilindembilinde nikafanikiwa kuyazibiti mpaka leo naogopa mpaka vi swimming
  14. Abuu Said

    Nawezaje ku-handle hali ya kukosa msisimuko na mpenzi wangu

    Dini ya Uislaam kutaka mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja hawakukosea
  15. Abuu Said

    Watoto hawataki kutoka sebuleni nivae nguo

    Unatakiwa uwe unaenda chooni na nguo zako za kubadilisha
  16. Abuu Said

    Kwanini watu wa kamera wanaruhusiwa kuhujumu ziara ya Rais Samia?

    Mbona anaingilia kazi ya waandishi awaache watende majukumu yao
  17. Abuu Said

    Ushauri unahitajika: Ana 26 anataka kuwa mke wa pili

    Uislaam umeweka sawa suala la ukewenza kwamba Mume aweke mizani sawa kwa wake zake wote wawili
Back
Top Bottom