Search results

  1. NTAKILUTA NDATO

    Mkaka wa kuchati nae tu anatakiwa

    Ok Sister, Naomba Tukutane Facebook Kwanza, Nitafute ODO GIBUSON NTALAMUKE.
  2. NTAKILUTA NDATO

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Dah Voda bwana ni mtandao wangu toka zamani naupenda, kasi yake hata umaarufu wake mkoani ninakotokea. ila nimejikuta sithamini kama mwanzo baada ya kukutana na tigo hapa mjini dar chanzo kikubwa mimi kudharau voda ni huduma mbovu za wa hudumu, uhaba wa ofisi zenye huduma zote japo mpaka sasa...
  3. NTAKILUTA NDATO

    Nahitaji Mwanamke Wa Kuishi Naye

    Nimechoshwa Na Upweke, Nimechoka Kutapeliwa, Naomba Nifunguke Kwako Juu Ya Moyo Wangu Japo Sina Mali Japo Sina Mahari Na Sijapata Mpenzi. Kuhusu Maisha Yangu... Mimi Sina Ajira Yoyote Zaidi Ya Kuhaso Kila Asubuhi Kutafuta Riziki. Nimepanga Mwenyewe Mjini/ Dar, Umri Wangu Miaka 24. Asili Yangu...
  4. NTAKILUTA NDATO

    Nguvu ya Maamuzi juu ya Maisha Yako ya Kitajiri hapa Duniani

    Ahsante Water Bearer Kwa Maneno Yako. Kwamba "MAAMUZI" Kama Silaha Ya Maisha Na Wahenga Husema "Penye Nia Pana Njia"... Nikurejeshe Kidogo: Umesema Ukitaka Kupata Pesa Kiasi Fulani.. Ni Maamuzi. Ukitaka Kuishi Maisha Ya Juu Kiasi Gani Ni Maamuzi... Nikupe Wewe Hongera Kwa Kufika Hapo...
  5. NTAKILUTA NDATO

    Naombeni msaada wenu wa mawazo au ushauri.

    Dah!, Hongera Kwa Hatua Uliyofikia. Mimi Ninachoamini Ni Kwamba Kila Biashara Ni Nzuri Ili Mradi Haikuhatarishi, Pia Kila Biashara Inalipa, Na Kila Biashara Ina Mapungufu Yake Ila Si Kwa Kila Mtu Biashara Moja/ya mkumbo Kufanikiwa. Mimi NaKushauri, Rejea Na Utumie Uzoefu Wako Pekee.
  6. NTAKILUTA NDATO

    Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

    Ndugu Tape Measure Ahsante Kwa Kunipa Uzoefu Wako. Kwa Upande Wangu Suala La Kurudisha Liko Juu Ya Mtu Ama Taasisi Itakayojitole. Kazi Yangu Ni Kupima Uzoefu Na Ufanisi Wangu Halafu Naweza Kukubali Ama Kukataa Mchango Huo. Wazo Tu Bila Vitendea Kazi Na Vitendo Utawaza Mpaka Utazeeka Hujafikia...
  7. NTAKILUTA NDATO

    Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

    Ndugu Isanga, Endapo Ningepata Mkopo Itategemeana Ni Kiasi Gani Ndipo Nitakapoamua Mwenyewe Mahali Ama Biashara Itakayoendana Kama Kuboresha Kabiashara Kangu Kadogo Kakutembeza Mifuko Au Kufungua Duka La Kiwango Ninacho Hitaji. Mimi Nipo Dar Es Salaam.
  8. NTAKILUTA NDATO

    Natafuta mdhamini wa mkopo nifanye ujasiriamali

    Ndugu Wana JF, Nimejitokeza Kuomba Ushauri Na Msaada Wenu. Mimi Ni Mjasiriamali Mdogo Ambaye Nimejaribu Sana Kwa Kutafuta Na Kuomba Mtaji Lakini Sijapata Mwanga Ninaohitaji. Naomba Mnisaidie Namna Rahisi Ya Kupata Mkopo Ukizingatia Sina Mali Wala Mdhamini Kunidhamini Katika Jambo Ninalohitaji...
  9. NTAKILUTA NDATO

    Rais Magufuli apokea taarifa ya maafa Kagera. Museveni achangia Tshs 437,000,000 kwa wahanga

    Dah, Mimi Nawapongeza Wote Wanafanikiwa Kuchangia Maafa Hayo. Na Kwa Huyo Raisi Wa Kenya Dah Ana Utu Wa Pekee Sana Juu Ya Tanzania Maana Sijawahi Kusikia Waafrika Wakisaidiana Pesa Zaidi Ya Maneno Na Majeshi. Namwomba Tu Mheshimiwa Rais, Magufuli Aoneshe Kujali Walio Wake Akimpiku Huyo Raisi Wa...
  10. NTAKILUTA NDATO

    Tufungulie Baraba, Yesu asulubiwe!

    Aise Unakosea Kuifananisha Kazi Ya Masihi Yesu Na Hawa Wachumia Tumbo Wanasiasa, Jinsi Gani!, Kazi Ya Yesu Imebeba Karama Ya Neema Kwa Wanadamu Waovu Na Wema; Kuna Ukamilifu Ndani Ya Yesu Kuokoa Kabisa Kwa Kila Mtu Aaminiye Yoh.3:16. Yesu Ni Tumaini La Milele. Yesu Alikuwa Afe Kwa Faida Yetu...
  11. NTAKILUTA NDATO

    Kanuni moja mpya ya kuoana

    Huo Ni Ushauri Bora!! Ahsante Sana Mleta Mada.
  12. NTAKILUTA NDATO

    Wanawake tuache kujioa, maisha mengine yanawezekana pia

    Aise! Naomba Nikatae Kauli Za Mleta Mada Kwanza: Hakuna Mtu Anayeweza Kujioa. Pili Naomba Nimpongeze Huyo Bidada, Ana Akili, Ana Mahesabu, Ana Mapenzi Ya Kweli, Anajua Kuyathamanisha Maisha Yake Pamoja Na Maisha Ya Mpenzi Wake Kabwera. Tatu, Naomba Nimpe Pole Kwa Kukimbiwa Japo Amediriki...
  13. NTAKILUTA NDATO

    Wananilazimisha nimpe jina Jezebeli

    Frederiko Unachokiamini Ndio Hicho, Zaidi Ameeleza Chosen Generation. Kama Wewe Ungekuwa Mimi, Ningefanya Utaratibu Wa Kuongea Na Wazee Hao Kwa Azima Ya Kuwasadikisha Kile Ninachoamini Juu Ya Majina, Hususani Sifa Na Tabia Za Watu Wenye Jina La Jezebeli. Hali Hiyo Inaonesha Jinsi Hao Waze...
  14. NTAKILUTA NDATO

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    UBARIKIWE MZEE KINGUGE, Kweli Mtu Mzima Dawa Labda Ujumbe Umefika, TUNAWEZA KUSIMIKA MABADILIKO TANZANIA!
  15. NTAKILUTA NDATO

    Ndege ya kivita ya JWTZ yaanguka baharini, wanajeshi wawili wahofiwa kufa

    Poleni Ndugu Na Jamaa Wote Tumefikwa Na Msiba!
  16. NTAKILUTA NDATO

    Mahakama kuu yatengua hukumu dhidi ya Mbowe, yaamuru arudishiwe faini aliyolipa

    Kweli Hii Ndiyo Tanzania, Angekuwa Kabwera Kama mimi, Hapo Angeozea Jela Wakati Haki Yake Imenunuliwa! MUNGU IBARIKI TANZANIA IPATE MABADILIKO YA KWELI.
  17. NTAKILUTA NDATO

    Kituo cha Polisi chavamiwa na kuchomwa moto Morogoro

    Muhimu Kuachia Sheria Ichukue Mkondo Kwa Mtuhumiwa Na Anastahili Kifungo Cha Maisha Kama Si Kunyongwa ili iwe fundisho kwa wengine wote wenye tabia za kishetani, tabia zisizokuwa na roho ya imani kwa binadamu mwenzao!. Lakini Nitoe Pole Kwa Ndugu Na Jamaa Mliofikwa Na Msiba Huo, Amani Ya Mungu...
  18. NTAKILUTA NDATO

    Bahati Bukuku amuimbia Lowassa wimbo

    Hivi Tusipoona Kupitia Kwa Wajumbe Wa Mungu Wetu Tutaona Hekima Zaidi Kupitia Kwa Nani?.. Zibarikini Kazi Za Watumishi Wa Bwana Japo Wanadamu Kama Sisi Ndipo Tutapokea Mibaraka Iliyotukimbia Ktk Nchi Yetu, Pia Jilindeni Nafsi Zenu Na Choyo Kwa Maana Ni Laana Mjumbe Wa Mungu, Ama Mkuu Ktk Taifa...
  19. NTAKILUTA NDATO

    Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

    Kwani Lowasa Mnyama Asiyeweza Kupewa Kura... Au..!
Back
Top Bottom