Search results

  1. chazymseri

    Azam vs bidvest

    Msaada kwa anayejua mpira wa Azam vs bidvest unaonyweshwa na tv gani na saa ngapi
  2. chazymseri

    MSAADA KWENYE SMART TV

    Hi wandugu mara nyingi natumia laptop kuangalia mpira kutoka kwenye baadhi ya website kama vile thefeed2all. eu rojadirector nanyingine nyingi lakini nilipenda kama ningeweza kuangalizia mipira hii kwenye smart tv LG. lakini kila nikifungua website inakubali lakini inapotaka kuanza kuplay hiyo...
  3. chazymseri

    Msaada jinsi kutuma file kwa mkupuo kwa kutumia bluetooth

    Wadau naomba msaada kwa wenye ufahamu mimi natumia window 8 + samsung note 3 lakini na shida moja kila napo chagua file 10 kutuma kwenye computer inanitaka ni click kila file linapokuwa limeenda moja moja basi kinatokea kibox kikinitaka niclick tena na tena kila baada ya file inamaana kama ziko...
  4. chazymseri

    Play and dance ii

    KWA WAPENDA MUSIC WA KUJIRUSHA WA DISCO HII HAPA BEST COLLECTION disco janu 2015
  5. chazymseri

    Naomba msaada wa ku-unlock ZTE R206-Z, IMEI- i357549053335795

    Hi naomba msaada wa ku unlock moderm wifi router ZTE R206-Zimei357549053335795 natanguliza shukurani
  6. chazymseri

    Enjoy nyimbo nzuri za zamani nonstop ozala mayele

    OZALA MAYELE NONSTOP MIX 80 MIN tambola na mokili ozala mayele mix final(2) Pia enjoy nyimbo za south africa za zamani south africa collection http://www.mediafire.com/listen/15zub07y95jfh8r/SOUTH_AFRICA_MIX_AUGUST_2010.mp3 pia enjoy 90 min nyimbo za zamani za 1990...
  7. chazymseri

    Play bolingo slow

    Sikiliza nyimbo za bolingo ambazo zimepigwa katika miondoko ya pole pole play bolingo slow2
  8. chazymseri

    Bolingo mix non stop (bolingo mzee)

    ENJOY BEST BOLINGO MIX NONSTOP play bolingo mzee
  9. chazymseri

    Msaada kwa anayejua mnada wa customs kesho

    Hi naomba msaada kwa anayejua kuhusiana na wapi na muda gani mnada wa tra Utafanyika wa kuuza magari ya sbt japan ambayo yameshindikana kukombolewa bandarini nili pata dodoso tu kuwa ni kesho mwenye habari kamili please anisaidie kujua
  10. chazymseri

    Nauza kiwanja bagamoyo mjini

    Nauza kiwanja bagamoyo mjini eneo la nia njema kina hati ukubwa ni 79/50 sawa na hakari moja pazuri kwa kujenga hotel ,hospital ,chuo bei 60,000,000/- mazungumzo yapo simu no 0785070856
  11. chazymseri

    Everlasting zilipendwa non stop

    Sikiliza zilipendwa mix ya nyimbo mbali mbali kujikumbusha enzi zileeee link hii hapa chini everlasting zilipendwa non stop 80 min.
  12. chazymseri

    Wapenzi blues collection ya 1980s & 1990s

    WAPENZI WA BLUE WA ENZI HIZO LINK HII HAPA CHINI http://www.mediafire.com/listen/46c0pzt82xl09tt/BLUES%20MIX%20NON%20STOP%201980s%20%261990s
  13. chazymseri

    Nyimbo za bolingo enzi ya tazara disco tujikumbushe

    NON STOP BOLINGO LINK HII HAPA CHINI BOLINGO MIX DANCE (TAZARA) 79 MIN
  14. chazymseri

    Wapenzi wa jazz pata vitu hapa

    LINK YA JAZZ HII HAPA CHINI NI NON STOP JAZZ MIX NON STOP
  15. chazymseri

    X master decoder

    Msaada bandungu nahitaji decoder iliyotajwa hapo juu yeyote anayeweza kunipa maelekezo ya kuipata
  16. chazymseri

    Jinsi ya ku calculate ushuru wa gari unapo agiza

    Tupo wengi ambao tunaagiza magari lakini tunakuwa na mashaka juu ya ushuru wa customs unakuwa ni wa asilimia ngapi au bei gani kulingana na gari uliyo agiza hapa kuna mwangaza jinsi ya kupiga mahesabu hayo nakujua ushuru utakuwa kiasi gani jinsi ya kucalculate ushuru wa gari
  17. chazymseri

    Old is gold 1980's

    Mambo ya mtaa wa mangoma nonstop OLD IS GOLD 1980's mp3
  18. chazymseri

    Sikiliza chrismass song non stop zilizotulia

    xmass song 2013 wale ambao hamkubaahatika mwaka jana kusikiliza nyimbo hizi za xmass basi ni wakati mwingine tena wa kuweza uzidownload na kusikiliza katika kipindi hiki cha xmass
  19. chazymseri

    Old zouk asili ya zouk

    ZOUK
  20. chazymseri

    Disco music 2013

    ENJOY MUSIC WA DISCO 2013 DISCO MUSIC 2013 CPS FINAL
Back
Top Bottom