Search results

  1. mhuni

    Maswali na Majibu Bungeni: Kwanini Mawaziri baadhi wanajibia sehemu walipo wengine wananenda mbele?

    Habari ndugu zangu Naomba kufahamishwa ingawa sijasoma sheria najiuliza sana kuuliza kuhusu suala hili la Mawaziri na Manaibu Waziri katika kipindi cha maswali na majibu mbunge akiuliza swali. Kuna baadhi ya Manaibu waziri na Mawaziri wanaenda pale mbele karibu na Spika na kujibu lakini...
  2. mhuni

    Heri ya kuzaliwa Yerricko Nyerere

    Leo ni siku ya kuzaliwa kwa kijana Yericko Nyerere
  3. mhuni

    Tukumbuke kuwawekea watoto mazingira salama na mazuri kwao

    katika kulea watoto wetu kuna umuhimu wa kuhakikisha mtoto anakuwa anaishi katika mazingira mazuri ambayo sio hatarishi kama vile umemuacha mtoto mdogo na ndogo umeacha bila hata ya kuzba mfuniko sasa huyu mtoto kaachwa ndan na waya wa extension upo ndan na unaumeme anaanza kutafuna...
  4. mhuni

    Nahitaji dereva wa pikipiki, napatikana Dodoma

    Mimi ninatarajia kununua pikipiki tarehe 28/01/2016 sasa nilikuwa naomba kama nitapata dereva na aniambie anahitaji pikipiki aina gani tuweekeane mkataba nimnunulie aanze kazi kwa mkataba wa mwaka na pikipiki inakuwa yake . Kama unamfahamu mtu yupo tayari mwambie mawasiliano 0783966466 au...
  5. mhuni

    Mrejesho: Kupima HIV

    fsaaae
  6. mhuni

    Mastaa wa muziki, kwanini mwafanya hivi?

    kwa mara kadhaa nakuwa nahuzunishwa sana na wasanii wa mziki hasa kwa instagram yaan unakuta msanii amepost kitu umelike na kucomment na umemtag kwa kumuuliza kitu lakin hakujibu nimeshanga sana leo tarehe 7 mwez wa saba 2015 kuna msanii anatoa wimbo kesho tarehe 8 sasa kila superstar...
  7. mhuni

    Fikra yangu: Kulaza magari sheli ni hatari zaidi

    Kuna jambo huwa nawaza sana katika maisha ya sasa ya kitanzania watu wengi wananunua magari lakini sehemu ya kuyalaza hawana . Wengi wao wanaenda kuyalaza kwenye sheli za mafuta kwa kudhani huko ndio kuna ulinzi sana lakin ukweli ulinzi upo na uhakika kwa usalama ni mkubwa sasa. Umewahi...
Back
Top Bottom