Search results

  1. Coolant

    Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Nenda Sinai kuna kitimoto safi
  2. Coolant

    Wenye familia na watoto mnawezaje kutazama Runinga nyumbani?

    Kuna muda wa watoto kuangalia tv na kuna muda wa baba kuangalia tv, kila mmoja akiheshimu muda wake mtaishi vizuri sana.
  3. Coolant

    Hivi kuna kadeti zenye ubora kuzidi VICOBSS?

    Tafuta kadeti ya quicksilver, unaweza kuibahatisha kwenye mitumba
  4. Coolant

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Nipo Mwanza sijui wewe upo wapi au kama una connection na Dr aliopo mkoa niliopo utakua umenisaidia. Kuna baadhi ya hospitals nilisha mpeleka wakaishia kumpa folic acid
  5. Coolant

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Asante kwa jibu zuri lenye matumaini, nina kijana wangu ana Jaundice
  6. Coolant

    Njiapanda: Mzee anataka turudi kijijini wakati mama anataka tubaki mjini

    Kama familia itisheni uchaguzi mpige kura, watakao shinda maamuzi yao yazingatiwe.
  7. Coolant

    Hizi ndizo KAZI hatari duniani

    Niliona makala moja ya hao wachimba sulphur wa Indonesia, dah niliishia kusisimka tu. Watu wanaingia kwenye bonde la volcano hai.
  8. Coolant

    Hizi ndizo KAZI hatari duniani

    Waezekaji wenye akili timamu wanavaa safety belt, boots na helmet
  9. Coolant

    Hizi ndizo KAZI hatari duniani

    Hizo kazi zote wanaozifanya wakizingatia usalama wao hakuna hatari yoyote itakayo wakuta.
  10. Coolant

    Mbila, Diila

    Pia
  11. Coolant

    Vyakula 7 vitakavyomfanya mtoto wako awe na akili zaidi

    Yes mafuta ya samaki na dagaa yana content inaitwa Omega3 inasaidia sana kuimarisha afya ya ubongo.
  12. Coolant

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Huyu Nifah ndio alikua personal secretary wa bwana Ontario? naomba anaefahamu anifahamishe tafadhali.
  13. Coolant

    Nahitaji kupata mume, tujenge maisha

    Bibie mimi nimekuelewa vizuri sana tatizo sina kazi wala shughuli, tunafanyaje sasa?
  14. Coolant

    Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Nipe Idea ya pesa nimechukua namba yako tutawasiliana kama utakua interested nitakuunganisha na jamaa yangu akupe mchongo wa hiyo kampuni maana sasahivi Wana tenda ya kulinda bomba la mafuta
  15. Coolant

    Naombeni msaada wenu kimawazo, pesa ama kazi ndugu zangu

    Mkuu acha dharau, nina ndugu yangu alifanya kazi unayoiita Mbwa kwenye moja ya kampuni tajwa, kituo chake cha kazi kilikua GGM. Aliacha kua "Mbwa" kwasababu kampuni ilipoteza tenda kwenye hicho kituo enzi za Jiwe. Lakini hadi anaacha kazi mshahara wake ulikua 900k na alikua anakula chakula...
  16. Coolant

    Nyimbo na Movie zangu bora kabisa kwa mwaka 2023

    Mwaka huu Kwa upande wa movie zipo nyingi ila leo nitataja moja tu yenye viwango vyake... APPENHEIMER
  17. Coolant

    Hii hapa Miradi mikubwa ya Maendeleo inayoendelea na utekelezwaji Mkoani Ruvuma

    Unavyo shupaza shingo kumsifia utafikiri hayo mabilioni anayatoa kwenye kilemba chake.
Back
Top Bottom