Search results

  1. victormztz

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We ni team gani kwanza?,tuanzie hapo😅
  2. victormztz

    Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    Sijawahi kuona mhaya pumbaf kama huyu, misifa imemponza, walijiona wametusua na kuanza kuwarusha roho majirani😀
  3. victormztz

    Watuhumiwa wanne wa wizi wa mabilioni ya benki ya NBC jijini Dar es Salaam wakamatwa

    We mwenyewe boya, unaachaje hela kwa kimada 😀 ,mimi kama mijengo na baadhi ya pesa namkabidhi bimkubwa wangu, zilizobaki nasepa nazo.
  4. victormztz

    Mnaoenda na magari kulewa huwa mnarudi nayo vipi nyumbani?

    DON'T DRINK AND DRIVE. Hivi vitu viwili haviendani abadani. Usije kujidanganya kuwa ukinywa ndio unakuwa makini,ipo siku isiyo na jina kitakukuta kitu.
  5. victormztz

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Ulikuwa naye wakati anatekwa?
  6. victormztz

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Huu ulioandika ni ushuzi kama lilivyo jina lako. Toka lini mtekaji aliyefanikiwa kumtia mikononi mateka wake,akamuachie kwa sababu tu ya wabwekaji mitandaoni?
  7. victormztz

    Mafunzo ya ufundi simu na TCRA

    Nafikiri inawezekana kwa sababu kupitia semina, watu hupewa elimu ya ziada japo inaweza isiwe kwa kiwango kikubwa lkn pia njia zipi wahusika wapite ili kuweza kutanua ujuzi wa taaluma zao.
  8. victormztz

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    1st half tunaongoza,vp una la kusema tena?
  9. victormztz

    Mdhamini: Tundu Lissu ameshapona, anashindwa kurejea nchini akihofia usalama wake

    Kuna kiongozi yoyote duniani hasa rais anayetembea bila ulinzi?
  10. victormztz

    Tanzia: Mwana JF Straton Mushi aaga dunia

    Apumzike kwa amani mwanachama mwenzetu.
  11. victormztz

    Rais Magufuli amjibu Kikwete kiaina

    Hicho ndio kitakuwa chanzo cha kifo cha ccm.Jk mwenyewe analiyambua hilo
  12. victormztz

    Kundi la kwanza la wakimbizi kutoka Libya lawasili nchini Rwanda kupewa hifadhi, ulinzi na kazi

    Wapo wengi kwenye makambi, lkn hawataki kutudi kwani wanaogopa mkono wa sheria kwakuwa wengi wao walihusika kwenye vikundi vya mauaji.
  13. victormztz

    Mjumbe Hauawi. Mahabusu watuma salaam kwa Magufuli. "Asante ila usitubague!" Magereza zalipuka kwa shangwe, vifijo na vigelegele kumshangilia JPM

    Haya yote uliyoyasema hayawezi fanyika kwa wakati mmoja kaka,ndiomana alilolifanya huyu mzee JPM ni sehemu tu ya hatua kuelekea huko. Kama una kumbukumbu, mara kadhaa huyu mzee amezilalamikia mamlaka husika kwa kuwakamata watumiwa na vidhibiti lakini bado mahakama kushindwa kutoa maamuzi...
  14. victormztz

    Watoto wa Mengi wamburuza mahakamani Jacqueline Mengi "Klynn"

    Hii vita Klyin hawezi kushinda, akubali matakwa ya huo ukoo,chochote atakachoambulia hakitakuwa haba kwake,isitoshe hana cha kupoteza na yeye bado ni kijana, otherwise atapotezwa na mali zote zitarudi kwa hao jamaa hasa ukizingatia watoto wake bado ni wadogo hivyo uangalizi utarudi kwa wakubwa zao.
Back
Top Bottom