Search results

  1. Rk10

    Ukweni ni kuzuri ukiwa na uwezo wa kuwabadilishia maisha yao kuwa bora

    Hili jambo haliitaji kukurupuka ndugu zangu, wanawake hawa wa siku hizi awaeleweki kabisa
  2. Rk10

    Makabila yatakayoendelea kutegemea elimu iwakomboe kiuchumi(ajira) yatashuka kimaendeleo

    Kumpa mtoto elimu ni muhimu sana ili aweze kuyamudu mazingira yake hata kama ajaajiliwa, ndugu tambua kuwa kuna utofauti mkubwa sana kiutendaji kati ya aliyesoma na mjinga.
  3. Rk10

    Asilimia 50 ya wanaume wananuka midomo. Lawama ziende kwa nani?

    Mnawalazimic kwenda uvinza ndo maana
  4. Rk10

    Nahitaji Samaki Perege na Kambale kwa Wingi

    Nitafute Niko ifakara
  5. Rk10

    Mwonekano wa nje wa Mwanamke hauna uhusiano na umbile lake la ndani

    Huo ni utafiti wako ngoja na sisi tuingie kazini mkuu, asante kwa kutuchokozea mada[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. Rk10

    Nahitaki pumba Dar es Salaam kwa bei poa

    Njoo pm Niko ifakara utapata nyingi sana kwa bei ya chini Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
  7. Rk10

    KISUTU: Jamhuri kuleta mashahidi 24, vielelezo 19 kesi ya Mbowe na wenzake

    Hii Kesi hao mawakili wa serikali wanaenda kukutana na peter Kibatala moto utawaka pale mahakamani, nasubili kwa hamu maswali yake. Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
  8. Rk10

    All good men are married, so sad

    Wish you the best
  9. Rk10

    Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Ziambie ndege zimtetee maana yeye aliona hivyo vitu ni vya muhimu kiliko maisha maisha binafsi ya watanzania
  10. Rk10

    Baada ya Mbowe na Kamati Kuu kupiga 'hat trick', sasa ni zamu ya Peter Kibatala na Tundu Lissu kusimamia mambo ya kisheria

    Ata wakienda mahakani kupinga na wakaendelea kuwa wabunge lengo tayari limeshavurugika la kupata pesa kutoka kwa wazungu, hivyo kama serikari ilitoa pesa kuwashawishi imekula kwao maana kwa haya yanayoendelea ni dhaili wazungu hawatoi pesa.
  11. Rk10

    Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Unaongea upuuzi kwani libya ilikuwa nchi ya namna gani? Unakalili vitu kutoka shuleni unataka kuviapply kwenye real life? Kwa hiyo ikiwa sovereignty state unaruhusiwa hata kuua raia? Ujinga kweli mzigo.
  12. Rk10

    Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Hawa wengi wanakuaga na uelewa mdogo sana, ndo maana huwa wanatumia nguvu nyingi kuliko akili.
  13. Rk10

    Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Mtu akiwa polsi anakuwa na ujinga mwingi kichwani, sasa kuwa polsi ni sifa au ni utumwa, naona unalewa kodi zetu.
  14. Rk10

    Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Lisu ana haki zake tulizeni mshono kwani mkituua nyie mtaishi milele? Ndo maana babu yangu alniambia polsi na mbwa tofauti yao ndogo sana, na ni wachache sana wanojielewa.
  15. Rk10

    Kwanini Panya ambaye hajawahi kuona Paka, akimuona anachanganyikiwa?

    Ni kama mseminali kurudi mtaani na kukutana na wanawake
  16. Rk10

    Kwa hili, nimegundua jirani yangu sio mtu mzuri

    Ningekuwa Mimi ninavyojijua mmmh... Ningemlipa ila ningemtengenezea zengwe Kali sana baadae. Hongera kwa busara mliyoitumia mbarikiwe sana.
Back
Top Bottom