Search results

  1. C

    Kampuni za ku-BeT na upangaji wa matokeo

    Nimekubali.. Wanapanga matokeo... Hawajamaaa....
  2. C

    Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

    Abiria akitoka miji mikubwa kama.. Nairobi.. Kampala, lusaka "Malawi.. Uwashushe boko.. Basi hamisha pia uwanja wa ndege pale,, upelekwe chalinze ndio akuna msongamano.. Tatizo ni miundo mbinu tu.......
  3. C

    Kubenea: Kuhamisha stendi ya Ubungo ni ufisadi

    Ww chizi. Tangu lini stand ya mabasi ikawekwa nje ya mji... Tena stand inatakiwa iwepo kariako Au mnaz mmoja.. Ndio city centre.. Au jangwani.. Uwezi kutoa watu mikoa alafu unawashusha boko.. Unasema unaondoa msongamano...tembea huone.. Nenda southafrica.. Pale Johannesburg.. Stand chini tran...
  4. C

    Yametimia: MSD yaweka nembo za Serikali kwenye dawa zake; wizi wa dawa kudhibitiwa

    Je wakitoa kwenye haya mabox yenye nembo. Wakatengeneza mabox mengine wakiziweka huko watajuaje? Madawa yanatakiwa kuunzwa hospital tu..Au wangeanza na kupiga marufuku baadhi ya dawa ambazo zinahitajika kwa kiasi kikubwa.. Na wananchi ndio wangeanzia hapo kufuatilia.. Pia maduka binafsi...
  5. C

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Angepanda helicopter mpaka.. Chalinze.. Then aende zake.. Au angepitia bagamoyo. Msata. Chalinze.. Aende zake dodoma..... Hiyo ndio najua ingekua inamaa sana...
  6. C

    Shamba linauzwa Kibaha Madafu

    Shamba linauzwa misugusugu.. Mita Mia 700..kutoka barabara kuu ya dar - mlandizi .. Bei 15 kwa heka.. Limepakana na oryx.. Mawasiliano.. 0762455093.. 0767300088. Akuna dalali,,, bei itapungua kidogo kama utachukua zaidi ya heka kumi...
  7. C

    Mgombea ubunge TANGA MJINI awatukana watu hovyo hovyo

    Kesho naelekea tanga.. Nitaleta mrejesho...
  8. C

    Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

    Mbona watu wanakesha misibani, kwenye club, na bar, kwenye maombi tunakesha... kwenye vituo tutashindwaje? Hata biblia inasema kesheni mkiomba.. Tunakesha kurinda kura zetu zote nchi nzima....
  9. C

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Kenkwale..kwedikwazu, Kwedizinga..
  10. C

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    Unyonya umkunoze,, pub ya kiti moto...
  11. C

    Vipi hali ya Jimbo lako, upepo unavumaje?tupeane updates!

    Moshi chadema wanachukua tena,, japo wa ccm anajalibu kutumia pesa kuhonga watu.. Na kufanya ubabe lakin.. Bado chadema inanguvu hasa kutokana na mafanikio ya miaka mitano baada ya kukamata manispal... Mambo mengi yamefanyika hasa barabara zimejengwa, zahanati,,na mengine mengi...
  12. C

    Ukimya wa Lowassa wakitia homa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

    Hao wabunge wa ccm wamechangia nini mpaka sasa,, ni bora ukae kimya... Kuliko kuongea pumba... Lowassa ndio kiongozi anayeweza kututoa...
  13. C

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    Tumeshalia na kusaga long time ago.. Bora tuone tutasaga vipi na ukawa... Hivyo hivyo mpaka kieleweke...
  14. C

    UKAWA waongea na Waandishi wa Habari kuhusu Utafiti wa TWAWEZA

    Hee hiyo tafiti ni ya ukweli kabisa,, hata ukiwahoji watu kumi, saba Au nane wanataka mabadiliko. Ndio maana Lowassa ananafasi kubwa ya kuwa rais....
  15. C

    Kuna kila dalili CHADEMA na UKAWA watakataa matokeo ya Urais

    Huyo lizaboni,, atafanya watu wajinga... Umeona watu kariako leo wamefanya tafiti bila ya kwenda shule... Ukiona hivyo hata mkija na mbinu gani.. Tafiti za huakika ni tarehe 25,, wewe kama ungekuwa mwalimu. Ungekuwa wa general studies.. Lakin sio mtu unayejua hatima ya Tanzania.... Na Hali ya...
  16. C

    Kuna kila dalili CHADEMA na UKAWA watakataa matokeo ya Urais

    Hizo ni tafiti za asubuhi,, jioni ukawa ndio mpango mzima.. Sisi atuangalii tafiti.. Kwanza wapiga kura hawajui maana ya tafiti... Tunamjua Lowassa ndio rais ajaye... Kama tafiti wakatuambie ni kiasi gani cha watanzania wanao kufa kila mwezi, kwa kukosa dawa Au huduma nzur hospital, kuhusu...
  17. C

    Wazee wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuipiga pande CCM?

    Wanadhurumu hata wazee watu? Sisi vijana je inakuwaje? Ndio maana tunataka tuwatoe madarakani.. Ccm inatakiwa kupumzika,, kwa kigezo kuwa inakuwaje raia wake wanateseka,, na kama kulitumikia taifa walishatumikia,, ccm wanaupungufu, na mungu anawalahani sasa.... Watoke tu.....
  18. C

    Majibu ya Maria Sarungi kwa wana UKAWA

    Kwanza cha kuujiuliza.. Twaweza wanafanya tafiti za kisiasa Au za Aina gani? Pili walitakiwa kutuambia wananchi kama kunatafiti wanafanya... Na wasinge kaa kimya ndio waibuke sasahiv.. Tatu watu waliowahoji tunauakika gani kama wameamua hivyo,,nne walitakiwa kushilikisha watafiti wa vyama...
  19. C

    Mikutano ya Mgombea Urais wa CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa, Dar es Salaam - Septemba 20, 2015

    People's power, nowadays is growing to people's mind...
Back
Top Bottom